Mama yangu kwanza

We unanijua unajua nani ananilipia ada na kunilisha we kaa kimya mkuuu staki nitukane mtu asubuhi hii hujui nimetoka wapi tuheshimiane
 

Hakuna kanuni, kuna wa Mama wameua watoto wao, kwa kifupi, mwanamke nje ya Mungu ni hatari, awe mke au yeyote.
 
Yaani wewe utakuwa Ni nyonyoli wewe!unaonekana unadeka Sana wewe.....Kaza mkuu acha kusemeleasemelea kwa mama na bibi
Obvious nataka wale matunda waliyo invest maana nipo chuo saivi mkuuuu

Ngoja nimalize mimi baba alikufa nikiwa form 1 2016 and I'm the only child at home you can imagine then
 
Obvious nataka wale matunda waliyo invest maana nipo chuo saivi mkuuuu

Ngoja nimalize mimi baba alikufa nikiwa form 1 2016 and I'm the only child at home you can imagine then
Kwa hiyo Hakim kakufurahisha alivyoweka hela kwa mama yake?
 
Kwa hiyo Hakim kakufurahisha alivyoweka hela kwa mama yake?
Sanaaaaa 😍😘😘😘😘😘😘 tuuuu

Nipo very happy aseee nakuambia kabisa hata jinsi domo anavyowasugua na kuwatupa huko ananifurahisha sana tu

MAMA HAWEZI SALITI NGOO MTOTO WAKE SIO KAMA WAKINA Kasie WAKIKOJOZWA WANAGAWA MALI ZOTE HAPANA HUYU KASIE NI MALAYA TUKUKA ILA SIO KILA MAMA NI MALAYA KAMA YY
 
Ni kweli.
Hata baba ni mwanaume wa thamani kuliko mume.
 
Heee mbona unamchokoza kasinde Tena?
 
Sikatai mama ana upendo ila siwezi kuu exaggerate kiasi hicho, ikumbuke kuwa kuna kundi huwaga linasahaulika sana tunaposifia kuhusu upendo,

Akina baba huwa wana upendo sana na huwa siku zote wanahangaika kwa ajili ya familia lakini kinachowaponza ni kwamba kamwe baba hawezi kusema directly NAKUPENDA MWANANGU, ila efforts anazozifanya ni dhahiri kabisa
 
Wao watajijua mkuuu
 
Nanukuu
"Mama ndiye mwanamke anayeweka masilahi ya mtoto wake wa kiume mbele, na kuwa tayari kufanya chochote kumsaidia mtoto wake kufanikiwa. Mke anaweza kumpenda mume wake kwa dhati, lakini upendo wa mama kwa mtoto wake wa kiume ni wa kipekee na hautawahi kulinganishwa na upendo wowote ule"

Mwisho wa kunukuu 🀚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…