Probably una 19 au 20 years.Obvious nataka wale matunda waliyo invest maana nipo chuo saivi mkuuuu
Ngoja nimalize mimi baba alikufa nikiwa form 1 2016 and I'm the only child at home you can imagine then
Shukran mkuuuuNanukuu
"Mama ndiye mwanamke anayeweka masilahi ya mtoto wake wa kiume mbele, na kuwa tayari kufanya chochote kumsaidia mtoto wake kufanikiwa. Mke anaweza kumpenda mume wake kwa dhati, lakini upendo wa mama kwa mtoto wake wa kiume ni wa kipekee na hautawahi kulinganishwa na upendo wowote ule"
Mwisho wa kunukuu π€
We kamwambie hivyo mwanao mkuuu sio mimi niache nn kwa mfano kuwatunza hapo baadae na ww lea mtoto wako akutunze kwani shida ni nn au unadhani miaka 20 ndo hajakua πππππππ daaah jf asee au basi tuProbably una 19 au 20 years.
Ukikua utaacha
Sio wote mkuu kuna wamama wana roho ngumu acha. Mtoto wake wa kumzaa ila hana uchungu nae kabisa. Wacha nisiongee mengi ila dunia ina maajabu yakeAlie kuzaa tu ndio anakupenda, na ndie ambae anaweza akakaa na wewe kwa hali zote.. ukiugua wehu kichaa mke anakutelekeza mchana kweupe na atapata mkurungwa mwingine.. ila mama kila ambapo atakuwa anakuona na hiyo hali chozi litamtoka..
Wapo ndio, ila asilimia yao ni ndogo sana.Sio wote mkuu kuna wamama wana roho ngumu acha. Mtoto wake wa kumzaa ila hana uchungu nae kabisa. Wacha nisiongee mengi ila dunia ina maajabu yake
Ishu ni kwamba hawapo wengi yaani kati ya 1000 unakuta ni 17 tu sasa. Huoni walivyo wachache πππSio wote mkuu kuna wamama wana roho ngumu acha. Mtoto wake wa kumzaa ila hana uchungu nae kabisa. Wacha nisiongee mengi ila dunia ina maajabu yake
Mama yangu wewe ni nguzo maishani mwangu... taa imulikayo maisha yangu..Dj tuletee mamaz boy na wimbo wa nani kama mama.....wakiongozwa na lile boya langu linalosemelea kwa mama kila kitu
Vipi km baba yako mbegu zake angezipotezea chooni, huyo mama Yako angekuzaa. Heshimuni wazazi wote. Tatizo mnalelewa na ma-single mother. Tuliolelewa na wazazi wote 2 hatuwezi kusema hivyo. Pole kwa yaliyokukuta.Mama yangu asingeshindwa kutoa mimba na kunitupa chooni nikiwa kichanga cha miezi 3 ila alivumilia vyote mpaka sasaivi mkuuuu hivyo dokta yupo tu kama mtu aliyesaidia basi
Hasira za nini?Sasa mali ndio inakufanya uone mama ndio kila kitu,we mpuuzi wa mwisho,mwisho wa siku wakati wa kugawa mashamba unaenda kulia kwa baba yako ambaye ni damu yako sio wajomba zako,mbona dogo hukui,hujui kutofautisha hisia na uhalisia...!!! Au unaitwa kwa jina la mama yako nini?
Mimi huwa najiskia vibaya kuona wanawake wanatia sumu watoto (ujinga) eti wao ni Bora na ndiyo Kila kitu kwa watoto wao kwa kutoa sababu za braaa braaa kibao. Hivi mwanamke ni kiumbe gani hiki, mbona kimejaa ubinafsi na kutojiamini. Hivi hawatambui kazi ya baba hadi huyo mtoto kupatikana. Hivi hawajui baba zetu wanavyohangaika kulea hizo mimba zao na mtoto baada ya kuzaliwa? Ma-single mother wanatibia za ajabu sn, wanaweweseka sn. Pole zao, ila wasidhani wote tumelelewa na mzazi 1.Tambua kuna upendo wa mzee(malezi) na upendo wa mke(hisia za mapenzi)