Mama yangu Samia, naomba mrudishe Jokate kundini, nimeshuhudia mapambano yake chamani

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Mama angu pole na msiba.

Katika harakati za uvccm nimeshuhudia Jokate akipambana sana Kwa AJILI ya CHAMA hivo NAKUOMBA mama yangu mrejeshe KUNDINI maisha yaendelee sijui chanzo chake, ila naomba tu mmfikirie turudishe umoja kazi IENDELEE.

Screenshot_20260911-204236.jpg
 
Mama angu pole na msiba.

Katika harakati za uvccm nimeshuhudia Jokate akipambana sana Kwa AJILI ya CHAMA hivo NAKUOMBA mama yangu mrejeshe KUNDINI maisha yaendelee sijui chanzo chake, ila naomba tu mmfikirie turudishe umoja kazi IENDELEE.

View attachment 3668670
Huyu tim magu hawezi rudishwa
 
Vijana wa lumumba kizimakundule vaeni pedi sasa, maana hamuwez tena kutumia akili mmetumika sana
 
Back
Top Bottom