Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Hawataki hata mama yao amalize kupewa faraja, akili zao zinawaza ulaji tu.Chawa kazini
Huyu tim magu hawezi rudishwaMama angu pole na msiba.
Katika harakati za uvccm nimeshuhudia Jokate akipambana sana Kwa AJILI ya CHAMA hivo NAKUOMBA mama yangu mrejeshe KUNDINI maisha yaendelee sijui chanzo chake, ila naomba tu mmfikirie turudishe umoja kazi IENDELEE.
View attachment 3668670
Lindaless postMama angu pole na msiba.
Katika harakati za uvccm nimeshuhudia Jokate akipambana sana Kwa AJILI ya CHAMA hivo NAKUOMBA mama yangu mrejeshe KUNDINI maisha yaendelee sijui chanzo chake, ila naomba tu mmfikirie turudishe umoja kazi IENDELEE.
View attachment 3668670
HULALI! πChawa kazini
Umeni kosea heshima mi ni chawa mkuu? Au nimekuelewa tofautiChawa kazini
Watu ni wengi inabidi waende wachache wachache ili kubalansi populationHivi hii ya kupewa faraja inaisha lini?
Maisha si inabidi yaendelee mbona we umeendelea kwenda kazini hujui kama taifa Lina msiba?Hawataki hata mama yao amalize kupewa faraja, akili zao zinawaza ulaji tu.
Ramli chonganishi kwani kipindi yupo, uongozini magu alikuepo?Huyu tim magu hawezi rudishwa
Machoko bwana muda wote wanawaza marinda tu, akili zako hazina akiliLindaless post
Kwa Tanzania ilivyo unawezaje kupata usingizi?HULALI! π
'Issues' nyingine wala hazina uzito kiviile!!! πββοΈKwa Tanzania ilivyo unawezaje kupata usingizi?
Haya'Issues' nyingine wala hazina uzito kiviile!!! πββοΈ