Mama yangu Samia, naomba mrudishe Jokate kundini, nimeshuhudia mapambano yake chamani

Hatutaki watu wasio na maono aende bongo movie hapo hapanfai
 
Anapambania tumbo lake,acha uchawa,ikatokea Leo hii kula, kunywa na kuvaa kukatoweka huwezi ona hata huyo Samia muuaji akiua Tena.

Samia kaua vijana wetu sababu ya tumbo lake
 
Anapambania tumbo lake,acha uchawa,ikatokea Leo hii kula, kunywa na kuvaa kukatoweka huwezi ona hata huyo Samia muuaji akiua Tena.

Samia kaua vijana wetu sababu ya tumbo lake
Kaka mi namuongelea jokate sio mama, naweza nika kwambia yake mazuri ya jokate yanayonisukuma kuomba arudishwe KUNDINI mkuu, shule ya kisarawe ya wasichana ilikua kwenye hali mbaya mabinti wamepgwa mimba sana kule kaipambania mpaka imerudi kwenye mstari hivi huyu ni WA kumpuuzia, je wale VIONGOZI walio enda kujenga mansion Dubai?
 
Ambayo hawajapotea wanarudiahwajw?warudushwe tunaojuwa hawajulikanee walipo.🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…