Mkuu nadhani utakua hujapata story za NILE CROCODILEMzuka wanajamvi!
Mamba hakidhi vigezo vya kuitwa au kuwa Super Predator. Kwa mtazamo wangu hastaili kuwa kabisa kwenye Hilo kundi la Super predator...
Yule hakamati Mamba, anakamata caiman(crocodile's cousin). Mlete huyo jaguar pale mto mara uone shughuli yake.Kuna mwamba anaitwa jaguar, anafuta mamba kumayi na kumburuta
Mazingira anayoishi Jaguar hakuna Mamba. Wale unaoona akiwakamata kwenye maji wanaitwa Caiman ambao uzito wao maximum ni 40kgs. Ingekuwa Nile crocodile Jaguar asingewezana naye lile monster linafika hadi kilo 500 uzitoKuna mwamba anaitwa jaguar, anafuta mamba kumayi na kumburuta
Hivyo vyenye kilo 40 vikiwa kwenye maji vinakuwa na pulling ya nguvu kuliko hata volkswagen amarokMazingira anayoishi Jaguar hakuna Mamba. Wale unaoona akiwakamata kwenye maji wanaitwa Caiman ambao uzito wao maximum ni 40kgs. Ingekuwa Nile crocodile Jaguar asingewezana naye lile monster linafika hadi kilo 500 uzito
Huwa wanatafuna vile vi-cayman au alligators vya America na Asia. Ila sio African crocodile. Huyu kiumbe ni habari nyingine!Kuna mwamba anaitwa jaguar, anafuta mamba kumayi na kumburuta
Hakuna mamba anayetolewa kumayi na Jaguar. Hao unaowasema ni jamii ya mamba. Si mamba Crocodile. Mamba ana ndugu zake wengi tu watoto wa mjomba na shangazi ila yeye kama yeye mwambie yoyote amfate kumtoa Kumayi... HakunaKuna mwamba anaitwa jaguar, anafuta mamba kumayi na kumburuta
Upo sahihi, viumbe vya Africa vyote vimevurugwa, kuna kuku ana vifaranga Leo kanirukia aniparue bila kosa lolote.Huwa wanatafuna vile vi-cayman au alligators vya America na Asia. Ila sio African crocodile. Huyu kiumbe ni habari nyingine!
Kila kiumbe kinachoishi Africa kimevurugwa. Kuna documentary moja niliona simba aliingia mtoni kwa kiburi chake akajua jamaa hawamuwezi. Alinusurika ila akabaki taya linaning'inia, akaenda kufia mbele huko!
Jaguar ndio chakula yake hao Cayman.Hivyo vyenye kilo 40 vikiwa kwenye maji vinakuwa na pulling ya nguvu kuliko hata volkswagen amarok
Bado Simba alionyesha umwamba tu kutoka haiHuwa wanatafuna vile vi-cayman au alligators vya America na Asia. Ila sio African crocodile. Huyu kiumbe ni habari nyingine!
Kila kiumbe kinachoishi Africa kimevurugwa. Kuna documentary moja niliona simba aliingia mtoni kwa kiburi chake akajua jamaa hawamuwezi. Alinusurika ila akabaki taya linaning'inia, akaenda kufia mbele huko!
Mamba hana cha kumfanya Simba labda amuotee sana.Hakuna mamba anayetolewa kumayi na Jaguar. Hao unaowasema ni jamii ya mamba. Si mamba Crocodile. Mamba ana ndugu zake wengi tu watoto wa mjomba na shangazi ila yeye kama yeye mwambie yoyote amfate kumtoa Kumayi... Hakuna
Iundwe timu mamba na jaguarHakuna mamba anayetolewa kumayi na Jaguar. Hao unaowasema ni jamii ya mamba. Si mamba Crocodile. Mamba ana ndugu zake wengi tu watoto wa mjomba na shangazi ila yeye kama yeye mwambie yoyote amfate kumtoa Kumayi... Hakuna