The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Yule sio mamba, ni jamii ya mamba ila sio mamba kamili, ni kama kenge aliechangamka.Kuna mwamba anaitwa jaguar, anafuata mamba kumayi na kumburuta
Yule ana uzito usiozidi kilo 50 wakati mamba ana hadi kilo 400 na urefu hadi wa futi 21 na nchi 2.
Nile crocodile - Wikipedia
Usimdanganye Jaguar ajichanganye kwenye mito yetu hii, katoto ka mamba ndio katakaomtafuna na wala hatatosha.