Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Kama tu ni kutoka hai mbona hata nyani hujinasua kwa mamba.!Bado Simba alionyesha umwamba tu kutoka hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tu ni kutoka hai mbona hata nyani hujinasua kwa mamba.!Bado Simba alionyesha umwamba tu kutoka hai
Simba dume huwa anavuka kwa raha mustarehe kwenye mto wowote wenye mamba zaidi ya 200 na hawamsogelei. King lion ni habari nyingine aisee.Heshima ya mamba ni kwa farasi wa majini (hippopotamus), kwa lugha laini KIBOKO na tembo labda. Wengine wote halali.
Ungejua simba jike ndiye mwenye nguvu kuliko dume usingebwabwaja hapa, usipagawe na manyoya.Itakuwa ni simba jike huyo mkuu, dume huwa hagusiki aisee. Anaweza kuwafanya mamba wote mtoni waonekane mijusi mbele yake.
🤣🤣🤣🤣 Vipi kuhusu ile clip ya jogoo na mbwa mpaka mbwa anakimbia kudadeki.Upo sahihi, viumbe vya Africa vyote vimevurugwa, kuna kuku ana vifaranga Leo kanirukia aniparue bila kosa lolote.
Jaguar ni noma,huwa anazamia kabisa chini ya maji kwenye kikilikakara za kumtoa mamba Nchi kavu, Jaguar inaonekana ana nguvu mnooKuna mwamba anaitwa jaguar, anafuata mamba kumayi na kumburuta
Pole sana, haujui unaloongea mkuu. Simba jike ni mkali na mara nyingi ndio muwindaji, ila dume ndio mwenye nguvu, kiburi, anaejiamini na asieogopa chochote. Mara nyingi dume huingilia kati ile vita aliyomshinda mwanamke na yeye huimaliza mara moja. Hilo dubwasha huwa haliogopa chochote hapa chini ya jua aisee.Ungejua simba jike ndiye mwenye nguvu kuliko dume usingebwabwaja hapa, usipagawe na manyoya.
Na timu Tembo🐘 boyIundwe timu mamba na jaguar
Huyo sio mamba ni CAIMAN ambaye ni kijimamba.Jaguar ni noma,huwa anazamia kabisa chini ya maji kwenye kikilikakara za kumtoa mamba Nchi kavu, Jaguar inaonekana ana nguvu mnoo
Wewee, thubutu yako.Simba dume huwa anavuka kwa raha mustarehe kwenye mto wowote wenye mamba zaidi ya 200 na hawamsogelei. King lion ni habari nyingine aisee.
Hakuna uthibitisha wa video au picha yoyote inayoonesha mamba akimgeuza simba dume chakula chake. Hakuna, narudia tena hakuna, na kama unayo iweke hapa tuione, sio tuongee kwa hisia tu. Simba dume ni habari nyingine aisee. Ni Tiger pekee ndo huwa na uwezo wa kupambana na hilo dubwasha, ila sio hiyo mijusi ya majini. Never.Wewee, thubutu yako.
Simba ni mchumba sana kwa mamba.
Hata wakati wa kula mkuu tena hufanyaga nyamnyamnyam huku akitiririka machozi.
Hapo kwenye kilo 40 maximum siamini
Kabisa mamba ni habari na nusu,Huwa wanatafuna vile vi-cayman au alligators vya America na Asia. Ila sio African crocodile. Huyu kiumbe ni habari nyingine!
Kila kiumbe kinachoishi Africa kimevurugwa. Kuna documentary moja niliona simba aliingia mtoni kwa kiburi chake akajua jamaa hawamuwezi. Alinusurika ila akabaki taya linaning'inia, akaenda kufia mbele huko!
we jamaa kwa chai. Machozi ya mamba huenda na maji, uliyaonaje?Mamba akilaga nyama tamu huwa hadi anatoa machozi kweli ni mchumba tu huyo..😂
Mkuu kwenye maji marefu huyo simba dume anageuzwa msosi dakika sifuri na mamba, hii nimeishuhudia mwenyewe. Anaweza kumshindwa kwenye maji ya kina kifupi na siyo deep water, hadi mtangazaji akasema Simba anahitaji kujua kwamba mmiliki wa mto ni mamba.Hakuna uthibitisha wa video au picha yoyote inayoonesha mamba akimgeuza simba dume chakula chake. Hakuna, narudia tena hakuna, na kama unayo iweke hapa tuione, sio tuongee kwa hisia tu. Simba dume ni habari nyingine aisee. Ni Tiger pekee ndo huwa na uwezo wa kupambana na hilo dubwasha, ila sio hiyo mijusi ya majini. Never.
Kwani mamba hukaaga masaa ishirina nne majini tu..?machozi ya mamba huenda na maji, uliyaonaje?