Mamba asingewekwa kwenye kundi la Super Predator hastaili kabisa

Mamba asingewekwa kwenye kundi la Super Predator hastaili kabisa

Aiseee MAMBA ni soo akiwa kwa maji, akiwa humo hadi chuwi analiwa vizuri tuu kama unabisha sema nikuletee video
 
Wewe utakuwa hauijui habari ya mamba vizuri.

Yule kiumbe ni hayawani kweli kweli. Ana ngozi ngumu kama koti la chuma na ana uwezo wa kunyumbulika na kujigeuza kwa kasi ya radi (REFLEXES).

Simba akitaka kulikamata lile dude sijui anaanzia wapi. Ni jambo lisilowezekana.

Labda akutane na mamba mgonjwa anayekaribia kujifia kwa magonjwa au majeraha.

Simba ni mtoto wa kike sana kwa kile kiumbe.
Na stress za mifumuko ya bei
 
Mzuka wanajamvi!

Mamba hakidhi vigezo vya kuitwa au kuwa Super Predator. Kwa mtazamo wangu hastaili kuwa kabisa kwenye Hilo kundi la Super predator.

Wanyama wengine ambao wako kwenye Hilo kundi Simba, Chui, Duma, Mbwa mwitu na Fisi wanastahili sifa zote na wanakidhi vigezo.

Licha ya uhodari wa Mamba, nguvu, kuogopwa, ukubwa wa mwili ushupavu na nguvu zote anazo anavyowinda na kutwaa windo Bado tu ni mchumbaaa kwasababu ANATAGA.
Nilikuwa nasafiri kule kwenye Mto Zambezi. Jioni,usiku,nikaenda kunawa miguu mtoni. Niliporudi nikawaeleza wenzangu nimetoka kunawa miguu. Wanasema kwa nini na sisi tusiende kunawa. Mwenyeji wa kule akasema:"Don't go---- crocodile!"
Yule rafiki yangu akasema,hapana, lakini mimi naenda kunawa. Nikamwambia huwezi kwenda,kama huyu anasema,"crocodile",Ina maana huwezi kwenda.
Halafu nikamwambia yule rafiki yangu anipe coke. Akasema,ajabu sana,Sasa hivi nilikuuliza unataka coke,ukasema "hapana". Nikamwambia ndiyo nilisema "hapana", lakini baada ya huyu mtu kusema "crocodile" nahitaji coke kutuliza nerves zangu.
 
mamba wa bongo ni balaaa...
 
Mzuka wanajamvi!

Mamba hakidhi vigezo vya kuitwa au kuwa Super Predator. Kwa mtazamo wangu hastaili kuwa kabisa kwenye Hilo kundi la Super predator.

Wanyama wengine ambao wako kwenye Hilo kundi Simba, Chui, Duma, Mbwa mwitu na Fisi wanastahili sifa zote na wanakidhi vigezo.

Licha ya uhodari wa Mamba, nguvu, kuogopwa, ukubwa wa mwili ushupavu na nguvu zote anazo anavyowinda na kutwaa windo Bado tu ni mchumbaaa kwasababu ANATAGA.
Haswa wale Mamba wa Uyebusi🤣🤣
 
Acha ushabiki mandazi. Simba hamuwezi mamba.

Simba wanaweza tu mamba kama wako wengi zaidi ya 2 tena madume na pili awe mbali na maji.

Kwenye maji mamba hana mpinzani isipokua Kiboko tu.

hata huko nchi kavu haiwezekani.

mamba anakomaa kufikia hatua ngozi haiingii jino wala kucha ya simba.
 
Hakuna uthibitisha wa video au picha yoyote inayoonesha mamba akimgeuza simba dume chakula chake. Hakuna, narudia tena hakuna, na kama unayo iweke hapa tuione, sio tuongee kwa hisia tu. Simba dume ni habari nyingine aisee. Ni Tiger pekee ndo huwa na uwezo wa kupambana na hilo dubwasha, ila sio hiyo mijusi ya majini. Never.
View attachment 2305370View attachment 2305371View attachment 2305372View attachment 2305373

paka kwa asili ni viumbe wenye tahadhari sana.

simba anajua moto wa kuugusa na hasara zake,sio mpuuzi namna hiyo.

hawezi vula maji na anajua kuna mamba,labda bahati mbaya tu itokee.
 
Jaguar sio cheeter. Ngoja nitafute clip moja kama ntaipata. Mm ni mpenzi wa animal planet. Kuhusu ukubwa hata simba wakat mwingine huwa anazidiwa anapoingia kwa mnyama mkubwa.

Jaguar ni wa tatu kwa ukubwa katika familia ya paka wakubwa
View attachment 2305503
Pia ndiye paka anayeweza kuwinda ndani ya maji
View attachment 2305731View attachment 2305732View attachment 2305733View attachment 2305734

kuna gape kubwa sana kati ya paka wa 1,2------3.
huyo jaguar ni paka mdogo kama wenzie waliobaki,asikutishe na mkwara wake wa kubeba vibenten vya mamba.

anafikisha mpaka kilo 90 top,ila mamba kuua kilo 800 ni jambo la kawaida,huo uzito hata simba hafiki.

ukiacha na strike force,ana ngozi ngumu mno,ambayo sio simba wala jaguar anaweza kuichana.
 
Back
Top Bottom