wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Watu mliozoea kubishana mambo ya Mpira Shida yenu hua ndio hii sasa.Aisee nadhani humjui vizuri jaguar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mliozoea kubishana mambo ya Mpira Shida yenu hua ndio hii sasa.Aisee nadhani humjui vizuri jaguar
hivi vile vimamba vinavyoshikwa na jaguar unasema ni mamba??? kijana hujui ukisemacho... kuna clip moja mamba alikavuta kacheetar kama kakamata sunguraa... ongelea mamba wa afrika kijana sio vile vikenge vya ulayaaFuatilia. Jaguar anawinda mamba mtoni na anamfuata huko huko ndani.
Tembo mchumba tu, huko India ni just a petNa timu Tembo🐘 boy
HahahahaHata wakati wa kula mkuu tena hufanyaga nyamnyamnyam huku akitiririka machozi.
Jaguar sio cheeter. Ngoja nitafute clip moja kama ntaipata. Mm ni mpenzi wa animal planet. Kuhusu ukubwa hata simba wakat mwingine huwa anazidiwa anapoingia kwa mnyama mkubwa.hivi vile vimamba vinavyoshikwa na jaguar unasema ni mamba??? kijana hujui ukisemacho... kuna clip moja mamba alikavuta kacheetar kama kakamata sunguraa... ongelea mamba wa afrika kijana sio vile vikenge vya ulayaa
Maji marefu simba hata bila mamba anaweza kufa. Simba hana asili ya kuishi majini, kwahiyo mara nyingi anapotaka kuvuka huvuka kwa kutumia maji mafupi, anapoenda kwenye maji marefu ni dhahiri ataishiwa nguvu na kukosa balance ya kujisimamia, hivyo ni rahisi kufa maana wakati mwenzake wa majini ana mshambulia yeye atakuwa anapambana kwanz kuitafuta balance ya kumuwezesha kutoka pale ndani ya maji. Ila unapoweka sehem yenye maji ambayo simba ataweza kujibalance ni lazima mamba atageuzwa kitoweo licha ya kwamba mamba ndio mwenye maji yake na simba ni mgeni tu humo majini.Mkuu kwenye maji marefu huyo simba dume anageuzwa msosi dakika sifuri na mamba, hii nimeishuhudia mwenyewe. Anaweza kumshindwa kwenye maji ya kina kifupi na siyo deep water, hadi mtangazaji akasema Simba anahitaji kujua kwamba mmiliki wa mto ni mamba.
Jaguar sio cheeter. Ngoja nitafute clip moja kama ntaipata. Mm ni mpenzi wa animal planet. Kuhusu ukubwa hata simba wakat mwingine huwa anazidiwa anapoingia kwa mnyama mkubwa.
Jaguar ni wa tatu kwa ukubwa katika familia ya paka wakubwa
View attachment 2305503
Nimekuwekea baadhi ya sources uwafahamu Nile crocs ili tusiongee siasa.usifananishe mamba wa afrika hasa mto nile na vikengee vya ulayaaa
Wewe utakuwa hauijui habari ya mamba vizuri.Hakuna uthibitisha wa video au picha yoyote inayoonesha mamba akimgeuza simba dume chakula chake. Hakuna, narudia tena hakuna, na kama unayo iweke hapa tuione, sio tuongee kwa hisia tu. Simba dume ni habari nyingine aisee. Ni Tiger pekee ndo huwa na uwezo wa kupambana na hilo dubwasha, ila sio hiyo mijusi ya majini. Never.
View attachment 2305370View attachment 2305371View attachment 2305372View attachment 2305373
Wale sio Mamba ni Cayman ....Kuna mwamba anaitwa jaguar, anafuata mamba kumayi na kumburuta
umenikumbusha mbali,,Nina ka anko kangu kangu wakati bado mdogo Kama mwaka na nusu alikuwa na bifu na jogoo...hili jogoo lilikuwa muda mwingi linamsaka ,anko akitoka nje tu jogoo anauma nae NI mwendo wa kumparua Sana...anko ikawa NI kushinda ndani kutoka nje hataki mpaka usalama wa jogoo udhibitiwe..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha nyumbani tuliwahi kuwa na Jogoo lilikuwa linakimbiza watoto...
Mdogo wangu wa mwisho hakuna rangi hakuona[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣 ngoja akusikie kajala 🏃♂️🏃♂️Tembo mchumba tu, huko India ni just a pet
vitoweo vyake hulia majini, nchi kavu huenda kuota jua.Kwani mamba hukaaga masaa ishirina nne majini tu..?
Unafikiri hakunaga ukame..😀vitoweo vyake hulia majini, nchi kavu huenda kuota jua.
Sasa huyo kwenye video ni mamba?Jaguar sio cheeter. Ngoja nitafute clip moja kama ntaipata. Mm ni mpenzi wa animal planet. Kuhusu ukubwa hata simba wakat mwingine huwa anazidiwa anapoingia kwa mnyama mkubwa.
Jaguar ni wa tatu kwa ukubwa katika familia ya paka wakubwa
View attachment 2305503
To be specific, alikua simba dume. Mamba akiwa kwenye maji, ni viumbe wawili tu ndio wanamshinda, either Tembo au Kiboko. Hao wengine wachumba tu!Itakuwa ni simba jike huyo mkuu, dume huwa hagusiki aisee. Anaweza kuwafanya mamba wote mtoni waonekane mijusi mbele yake.
Video ina matukio zaidi ya moja. Unless nimekosea upload. Nikitulia nitahakiki.Sasa huyo kwenye video ni mamba?
Huyo ndio caiman na wala siyo mamba