Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Fuatilia. Jaguar anawinda mamba mtoni na anamfuata huko huko ndani.Haiwezekani mkuu, Jaguar ni mdogo sana kwa mamba, mdogo sana..
Jaguar ana uzito kati ya kilo 56 hadi 130 tena huo ni mkubwa sana ila average ni kilo 56 hadi 98 huku akiwa na urefu wa futi 6 maximum ama sentimita 180.
Mamba wa mito yetu anaanza na uzito mdogo ni kilo 200 hadi kilo 414.
Halafu kwenye bite force per square inch kwa hawa wanyama wala nyama Jaguar anawazidi simba, chui na hata Duma ila sio fisi ila kwa almost wanyama wote mamba ndio mwisho wa matatizo.