KWELI Mamba (Gustave) anakadiriwa kuua watu takribani 300 Ziwa Tangayika

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Wamuone halafu wamuache tu aendelee kuuwa watu?
 
Wamuone halafu wamuache tu aendelee kuuwa watu?
Hebu angalia youtube yule mfaransa alietengeneza cage ya chuma na kumuweka mbuzi kama bait
Hakuna mamba alieingia kwenye mtego kwa mda mrefu ila siku moja waliamka wakakuta lile cage limevunjika na mbuzi hayupo
Walijaribu sana kumkamata sio kumuuwa
Mbona ameonekana sana akiwa nje na ndani ya maji kwa mda mrefu tu
 
Nani kampa hilo jina la gustav
Patrice Faye ni mfaransa alieishi miaka zaidi ya 20 Burundi, alikuwa ni zoologist aliesomea mambo ya Reptiles kilugha wanaitwa Herpetologist
Ndie aliembatiza hilo jina
 
Mamba anayeshindikana kuuwawa mpaka na askari wa wanyama pori wenye utaalam wote, anauwa watu hadi 300 labda waha wampe jina la umwamba haswa. Huyo sio crocodile, huyo ni kitu lingine.
Isijekuwa Juma Njemba alihama nchi kavu kwenda majini!!
 
Binafsi babu yangu aliwai kumuona huyo mamba akiwa nchi kavu kabisa
Alisema Yule hata akipakiwa kwenye scania kubwa kabisa lazima mkia wake wote ubuluze chini
Huu uongo mkubwa sana.
Binafsi babu yangu aliwai kumuona huyo mamba akiwa nchi kavu kabisa
Alisema Yule hata akipakiwa kwenye scania kubwa kabisa lazima mkia wake wote ubuluze chini
Fix hizi. Mamba azidi kwenye Scania? Mamba mkubwa ambaye rekodi zake haziijavunjwa mpaka leo aliitwa Lolong, alikamatwa nchini Philippines mwaka 2011.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…