Mamba wameonywa kutoogelea hapa

Hahaha...........nawatetea kwakuwa wengi wa Wazee humu ni ama nimewazidi umri ama tupo nao rika Moja πŸ€—
Unapataje moyo wa kutetea hao wafakamizi wa masholi wetu sisi vijana πŸ˜‚
 
Sentensi tata/ambiguous.Lakini,ukiona na kulewa kwamba ni mamba ndiyo wameonywa,kaogelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…