Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hahaha...........nawatetea kwakuwa wengi wa Wazee humu ni ama nimewazidi umri ama tupo nao rika Moja 🤗Ila unawatetea sana hawa wazee wenzako mkuu ahahaha achana nao kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...........nawatetea kwakuwa wengi wa Wazee humu ni ama nimewazidi umri ama tupo nao rika Moja 🤗Ila unawatetea sana hawa wazee wenzako mkuu ahahaha achana nao kabisa
Au kwenye daladala utasikia - tiketi hiyo mkatianeZingatia muktadha. Mgahawani ni rahisi kusikia:
1. nani chipsi kuku- mimi hapa
2. Nani kichwa cha samaki-yule pale
wapi wameandika watu mkuu? na hizo dots umeweka wewe sio tangazo.Tangazo linasomeka hivi- MAMBA: SI RUHUSA KUOGELEA HAPA. Si kwamba mamba hawaruhusiwi kuogelea hapa. Watu ndio hawaruhusiwi kuogelea hapa
Unapataje moyo wa kutetea hao wafakamizi wa masholi wetu sisi vijana 😂Hahaha...........nawatetea kwakuwa wengi wa Wazee humu ni ama nimewazidi umri ama tupo nao rika Moja 🤗
kaanza na sentensi MAMBA alitakiwa aweke colon ndio ingeleta maanawapi wameandika watu mkuu? na hizo dots umeweka wewe sio tangazo.
Watu wagumu sana kuelewa..kaanza na sentensi MAMBA alitakiwa aweke colon ndio ingeleta maana
Kabisa....Uzuri wa mamba ni waelewa mno
Ahahahaha daahKabisa....
mamba wasiogelee hapa, mamba usiogelee hapa. Sentensi zimekuwa tata kwa lugha zote mbiliMi naona wameandika ''mamba hawaogelei hapa'
crocodiles do not swim here.
Sana yani