Mamba waonekana Bwawa la Chemka

Mamba waonekana Bwawa la Chemka

Ninayo video nyingine ikionyesha mamba akiogelea Chemka ila nashindwa kuiweka hapa


Basi hao Mamba hawana tatizo na wamadamu, nenda chemka mda huu, kuna wafoza ushuru na mashine ya serikali, na kuna watu kibao wanaogelea pale, hao mamba wako watakuwa Marioo
 
Kuna dogo pala ana rasta nimempigia hakuna kitu, kile ni kivutio, mpaka Marekani kinafahamika, hiyo ingekuwa habari kubwa mno, vicha upumbavu wako.
Najiepusha na mabishano na mtu wa sampuli yako, mabadiliko yakitokea ni kukubaliana nayo. Wewe kabembee na ile kamba oga kwa starehe sio lazima uliwe leo, sikio la kufa.....
 
Uzuri kwa namna maji yalivyo clear pale kama kweli mamba yupo nadhani ataonekana.
Na kuna mipango mikubwa mtu akivutiwa na mamba huko ndo kwaheri.
 
mamba wapo, ni issue inayofahamika vizuri tu sema huwa wanakuja usiku. Mchana kukiwa na vurugu vurugu na mishemishe za watu wakiogelea huwa wanaenda mbali hawawezi kusogea, ndyo hali inayosababisha kuonekana kama hawapo, lakini usiku kunapokuwa kumetulia wanarudi na ni risk sana kuogelea mwenyewe usiku.
 
Upumbavu huu, nimeogelea hapo toka nina miaka 20, hata mwezi uliopita na miaka yangu 53 nimeoga hapo.

Acha kuongea ujinga wewe kampuni ya African Queen mgeni wake alishashambuliwa na mambo hapo,hata Tanzania Specialist….

Hao wanaosema hakuna wanafaidika na hiyo sehemu lakin ukweli ni kwamba Mamba Chemka wapo..
 
Back
Top Bottom