Mamba waonekana Bwawa la Chemka

Hapo kwenye mafuriko sijaelewa, maji si yanaanzia huko kwenda tanga? Kwa hiyo mamba wanaenda tofauti na maji na sio kuwa wanapelekwa na maji.
 
Chemka ni wapi
 
Ukishafika Bomang'ombe ulizia barabara ya kwenda chemka maana panafahamika ..km nadhani 14-16(kati ya hizo), barabara ni ya changarawe
 
Kuelewa ka pana mamba, mloko maeneo hayo chukueni mbuzi wawe wanakula maeneo jirani na kunywa maji hapoo mamba alikoonekana >>>>ukiona damu tuu ujue mambo bambam
 
Sijaonaga mamba hapo, labda kenge, au mamba uzalendo umemshinda kujifichaficha akaona ajitose azarani... ila last month tulikua hapo na friends na mmoja alifariki ndani ya maji, ilikuwa tukio ambalo siwez lisahau kbsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…