Mambo 10 ambayo Simba SC inapaswa Kujifunza Kutoka Yanga SC

Mtoto anapo jifunza. Kuttembea ni lazima afuate hatua zote za ukuaji.

Kukaa.
Kusema.
Kutambaa.
Kutembea.

Huwezi kuruka hatua.

Ni lazima.ajifunze kwanza kwa Yanga ndipo aje kujifunza kwa hao wengine.
Bado mbichi Sanaa kwenye uchambuzi
 
Yani badala ya Simba SC ajifunze kutoka kwa wenye makombe Al Ahly, Wydad, E Tunis na T Mazembe ya wakati ule halafu ajifunze kwa Yanga aliyepata mafanikio jana ilhali wenzake alipata tangu miaka 30 iliyopita. Akili Ipo Kweli Ya Kutafakari..!
Yaani badala ya Simba SC ajifunze kutoka kwa wenye makombe Al Ahly, Wydad, E Tunis na T Mazembe ya wakati ule halafu ajifunze kwa Yanga aliyepata mafanikio jana ilhali wenzake alipata tangu miaka 30 iliyopita. Akili Ipo Kweli Ya Kutafakari..!
Miaka 30 iliyopita wenzio wana makombe 29 ligi kuu wewe haujamfikia hata kidogo, mwenzio ana makombe yote FA,Ngao ya jamii kukuzidi wewe kwenye hiyo miaka, na bado ana medali za CAF alafu eti bado unaongea pumba zako 😄😄😄
 
Kwa mafanikio yapi ya Yanga ambayo Simba SC hakuyafikia.?
Yanga ni bingwa mara 29, vipi hapo umefikia? Yanga anavikombe vingo zaidi FA, Ngao ya jamii vipi hapo umefikia? Yanga ana medali za CAF vipi wewe unazo?
 
Hata kama Una Uhuru wa kuongea chochote lakini kumtuhumu Mtu kitu usicho na uhakika nacho ni ukatili. Umemtuhumu Mkude kuvuta bangi na kumtongoza CEO ambaye hujamtaja lakini nadhani ulimaanisha Barbara. Suala hili naomba uthibitisho maana hakukuwahi kuwa na mashitaka ya Aina hii dhidi ya Mkude toka Kwa Uongozi wa Simba..
Kuhusu Robertinho kutokuwa kocha mzuri Kwa vile hajawahi kuchukua Kombe, hii dhana ni dhaifu mno na haipaswi kuletwa na anayejua soka Bali Mbumbumbu. Hakuna kocha aliyeanza kazi akiwa na Kombe. Juzi West ham imechukua UEFA Conference Cup chini ya David Moyes ambaye Hana Kombe lolote la Ulaya. Mourinho alichukua UEFA akiwa na Porto akiwa hajulikani kabisa Ulaya. Unataka Simba itafute kocha aliyewahi kuchukua Kombe mbona wewe hukuoa Mwanamke aliyewahi kuolewa ili upate mwenye uzoefu?
 
Yanga ajifunze kwa simba kufika mbali ligi ya mabingwa simba akijifunza kwa yanga ina maanisha awe anaishia makundi ,aende shirikisho mpka fainali huko nikurud nyuma.
 
11. Kuununua mechi kwa kuhonga marefa na makipa ili yafungwe magoli ya makosa ya kibinadamu.
12. Kuhakikisha wachezaji hatari wa mpinzani wanavunjwa miguu
 
Yanga ajifunze kwa simba kufika mbali ligi ya mabingwa simba akijifunza kwa yanga ina maanisha awe anaishia makundi ,aende shirikisho mpka fainali huko nikurud nyuma.
Yanga kaacheza Fainal CUF.

Hiyo ndio standard alizo set.

Sasa hivi robo sio mafanikio tena, meza ishapinduliwa. Ngoma mpaka fainali.
 
11. Kuununua mechi kwa kuhonga marefa na makipa ili yafungwe magoli ya makosa ya kibinadamu.
12. Kuhakikisha wachezaji hatari wa mpinzani wanavunjwa miguu
Uko sahihi kabisa.

Hata CAF Confederation CUP nakonwamekuwa wakinunua marefa tangu walipo cheza na. club africain mpaka malumo gallant.

Ila marefa wa mechi ya fainali Caf walikataa kununuliwa.
 
Yanga ni bingwa mara 29, vipi hapo umefikia? Yanga anavikombe vingo zaidi FA, Ngao ya jamii vipi hapo umefikia? Yanga ana medali za CAF vipi wewe unazo?
Dah hebu tusubiri jibu lake, tuone atavyo puyanga.
 
Yanga kaacheza Fainal CUF.

Hiyo ndio standard alizo set.

Sasa hivi robo sio mafanikio tena, meza ishapinduliwa. Ngoma mpaka fainali.
Yanga kafika apo baada ya kushindwa kufika robo ligi ya mabingwa .
 
Yanga kafika apo baada ya kushindwa kufika robo ligi ya mabingwa .
Medali ya CAF ya Fainali za CAFCC ni mafanikio makubwa kwa mchezaji kuliko kuishia Robo fainali CAFCL.

YANGA sasa imeweka standard.

Kucheza Robo mashindano yeyote ya CAF ni failure. Lengo ni kubeba Medali.
 
Shida ya Sinba iko kwenye upigaji na sababu ni kuwa mtoa hela hana mtu wake pale.
GSM mjanja sana kaweka mtu wake pale hivyo hela haipotei hovyo
 
Ujinga umeandika unamtweza mtu utu wake mgunda na kibu looo ujinga huo
 
Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.

Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!

Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
 
Medali ya CAF ya Fainali za CAFCC ni mafanikio makubwa kwa mchezaji kuliko kuishia Robo fainali CAFCL.

YANGA sasa imeweka standard.

Kucheza Robo mashindano yeyote ya CAF ni failure. Lengo ni kubeba Medali.
Unaelewa maana ya ku set standards au unajiwehusha tuu?

Ili uweke standards you should maintain the target at least not less than 3 times consecutively hapo ndio una legitmacy ya kusema umeset standard.

Vinginevo inakuwa ni chupri chupri tu. Utopolo akili mmeweka huko kwenye mwiko.
 
Medali ya CAF ya Fainali za CAFCC ni mafanikio makubwa kwa mchezaji kuliko kuishia Robo fainali CAFCL.

YANGA sasa imeweka standard.

Kucheza Robo mashindano yeyote ya CAF ni failure. Lengo ni kubeba Medali.
Kwa hyo bora simba atoke mabingwa asifike robo ili tu avae medali shirikisho?
 
Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.

Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!

Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
Shida ni mchezaji wenu ndio anawalet down. Kwamba mayelw kwenye big chances 10 anafunga moja unategemea nini?
 
Hahahahh daah hapo mwisho umetoa kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…