Mambo 10 kuelekea mwaka 1 wa kumkumbuka ya Hayati Magufuli

Mambo 10 kuelekea mwaka 1 wa kumkumbuka ya Hayati Magufuli

Umemtendea haki, binafsi naamini maeneo ambayo hakufanya vizuri ni upande wa Demokrasia na pia biashara. Handling ya business kikodi iliharibu sana mfumo wa biashara. Ilihitajika nguvu kidogo akili nyingi kukusanya kodi. Kama angekuwa na upeo kidogo au exposure upande wa biashara angefanya vyema sana.

Mfano Energy sector pamoja na kuleta sustainability lakini PPP ilikuwa inakufa na matokeo yake tungeona baadae sana. Kuwapangia bei wazalishaji umeme bila majadiliano ya kina imeharibu mno.

Otherwise still ndio Rais ninae amini angetufikisha mbali kama angejirekebisha maeneo hayo. Pia kutokuamini kwenye Demokrasia ni mtizamo au msimamo ambao hata chama chake unaamini Kikatiba lakini si kivitendo! Angefanya kama watangulizi wake tu badala ya nguvu kubwa aliyotumia kuzima wanaompinga.
Umeanza vizuri,ukamaliza kijingajinga.kama mtu hataki demokrasia si ni dikteta??dikteta ni mtu aliyelaaniwa,kama meko.
 
ujinga upi mkuu
Sijui kwanini watu wanaona kuwa Magufuli alitenda mema sana wakati ndiye rais aliyefanya maovu mengi na kuwaumiza hata kuwaua watu wengi tu, kaharibu utengamano wa taifa kwa ukabila, kufanya matumizi mabaya ya fedha za umma kama CAG anavyoonesha, kuuwa makampuni mengi na kufanya upendeleo mkubwa kijijini kwake. Lazima uwe mtu mjinga kumwona Magufuli mtu wa kulilia.
 
hkn aliye mlilia mkuu ila kuna vtu ambvyo alifanya
jpo kwa uchache unaona vision yake
 
Back
Top Bottom