Wa karne ya 17Shujaa JPM
Umeanza vizuri,ukamaliza kijingajinga.kama mtu hataki demokrasia si ni dikteta??dikteta ni mtu aliyelaaniwa,kama meko.Umemtendea haki, binafsi naamini maeneo ambayo hakufanya vizuri ni upande wa Demokrasia na pia biashara. Handling ya business kikodi iliharibu sana mfumo wa biashara. Ilihitajika nguvu kidogo akili nyingi kukusanya kodi. Kama angekuwa na upeo kidogo au exposure upande wa biashara angefanya vyema sana.
Mfano Energy sector pamoja na kuleta sustainability lakini PPP ilikuwa inakufa na matokeo yake tungeona baadae sana. Kuwapangia bei wazalishaji umeme bila majadiliano ya kina imeharibu mno.
Otherwise still ndio Rais ninae amini angetufikisha mbali kama angejirekebisha maeneo hayo. Pia kutokuamini kwenye Demokrasia ni mtizamo au msimamo ambao hata chama chake unaamini Kikatiba lakini si kivitendo! Angefanya kama watangulizi wake tu badala ya nguvu kubwa aliyotumia kuzima wanaompinga.
Ujinga ni hatari sana.Sikuwahi kumpenda "Mwenda Zake" ila kwa sasa pengo lake naliona.
ujinga upi mkuuUjinga ni hatari sana.
ndio tunamkumbukaSi aliwaambia mtamkumbuka?
ndio tunamkumbuka
Si aliwaambia mtamkumbuka?
Mwendazake alikua "devil satani kuu" mtuu anae uua nafsi ya mwezie hana zuri what so everSikuwahi kumpenda "Mwenda Zake" ila kwa sasa pengo lake naliona.
Umeanza kuchanganyikiwaSikuwahi kumpenda "Mwenda Zake" ila kwa sasa pengo lake naliona.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Labda kwa viroba vya watu
na hawez kuwafanya chchteSamia kazungukwa na wapigaji
trust"Nimesakrifaisi maisha yangu kwa akili ya Watanzania" by Mwendazake
Sijui kwanini watu wanaona kuwa Magufuli alitenda mema sana wakati ndiye rais aliyefanya maovu mengi na kuwaumiza hata kuwaua watu wengi tu, kaharibu utengamano wa taifa kwa ukabila, kufanya matumizi mabaya ya fedha za umma kama CAG anavyoonesha, kuuwa makampuni mengi na kufanya upendeleo mkubwa kijijini kwake. Lazima uwe mtu mjinga kumwona Magufuli mtu wa kulilia.ujinga upi mkuu
hkn aliye mlilia mkuu ila kuna vtu ambvyo alifanyaSijui kwanini watu wanaona kuwa Magufuli alitenda mema sana wakati ndiye rais aliyefanya maovu mengi na kuwaumiza hata kuwaua watu wengi tu, kaharibu utengamano wa taifa kwa ukabila, kufanya matumizi mabaya ya fedha za umma kama CAG anavyoonesha, kuuwa makampuni mengi na kufanya upendeleo mkubwa kijijini kwake. Lazima uwe mtu mjinga kumwona Magufuli mtu wa kulilia.