Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI

Ongeza walau neno ili na sisi tupate walau mawili matatu.
 
Duuh mkuu asante
 
Naunga mkono hoja yako
 

Inasemekana alikuwa chakula ya watu. Ni kweli?
 
THANK YOU
 
KATIKA NCHI YETU TUNAWEKA VILAZA IDARA NYETI; WANAENDESHWA KAMA VITOROLI, MTU ANAMUOGOPA RAIS KAMA BABA YAKE LAKINI WENZETU, MTU WA IDARA NYETI ANAOGOPWA KAMA UKOMA KWA SABABU SIO KILAZA SIO MFIA CHAMA WALA TUMBO.

MTU ANAJALI HESHIMA YAKE TU KWA WATU. kwetu rais anakuwa mungu, kwa wenzetu utabaki kuwa rais wa waliokuchagua tu. Huwezi kumtawala kila mtu
So much success depend on reputation you made, guard it with your life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…