Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI

Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI

Huyo bwana kwa maelezo hayo inaonesha alikuwa mtu hatari sana mbaka kufikia kutishia uhai wa marais, ila hiyo namba 8 inatia mashaka kidogo
Namba 8 isikupe shaka. Majiniasi wengi Ulaya walikua bize sana na kazi zao mpaka muda wa kua na Wapenzi hawakuanao. Mfano Nikola Tesla hakua na Mke wala Mpenzi walahakuwahi kufanya mapenzi he died virgin.
 
Leo ndio nimeelewa kwann jay z alikuwa anajiita hova....kumbe ameaxima au kuwa inspired na huyo jamaa.
Sio kweli mkuu! Jiga anajiita Hova akiwa na maana ya Je-Hova! Huyu Edgar J Hoover ni moja kati ya Watu waliochukiwa na ataendelea kuchukiwa sana na Watu Weusi wa Marekani vizazi na vizazi. Edgar Hoover ndio aliesuka mpango mzima wa kumuu Martin Luther King jr.
 
Huyu jamaa alikua hatar sana kama US wasingebadili hii sheria hata wale waliofuata pasi na hekima wangekua hatari sana kwa usalama hata globally.Na ingezalisha sana makundi mengi ya kigaidi
 
Only that he died young, kuna moja ya story kwamba walienda kuiba benki kwa kuzuga kwamba wako wanaact movie, so wanatafuta location ya kufanyea scen ya Bank Robbery, kumbe ndo wameenda kuiba kweli.
Duuh. Alikua darer
 
Mashaka gani mkuu? Unamjua waziri wa ulinzi wa sasa wa Marekani? Ni Jenerali mstaafu James Mattis nae ni lifelong bachelor. Hajawahi kuoa wala hana mtoto.

Yeye amebobea zaidi katika vita na ndio kitu pekee anachokipenda katika maisha yake.

Baadhi ya vitu havitokei kwa bahati mbaya, hupangwa.
Mkuu samahani fafanua hapo kwenye hoja ya baadhi ya vitu hupangwa tunaweza kupata nyama
 
Na chadema waweke kimomo maama mwenyekiti wao atazeekea kitini
 
Back
Top Bottom