Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Duuh...kuna watu wameacha historia kwenye hii dunia acha tu. Wakati huo wengine hapa historia zetu hazijazi hata daftari la 100/=.
Na pia vile vile John Dillinger inasemekana kabla hajaenda kuvamia benki au sehemu yoyote alikuwa anachimba andaki kwanza la kufichia Mali atakazo iba.