Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI

Na unaambiwa kwenye Interview wakati Bi Hellen Gandy akiomba kazi alivyoulizwa kuhusu kuolewa akasema hana mipango ya kuolewa, Hoover akabariki Bi Hellen apatiwe kazi haraka iwezekanavyo.
Maana yake ni kuwa huyu mzee alipanga hiyo lifestyle yake na sio kubanwa na kazi mpaka akashindwa kuoa
 
pamoja na ukatili wake lakini leo hii marekani wanajivunia na FBI yao kwa sababu ya edgar....na ataendelea kubaki kwenye kumbkumb za fbi,kama kachero mahili zaidi kuwahi kutokea na ndie muasisi wa FEDERAL BUREAU INVESTIGATION..
R.I.P J.Edgar Hoover
salute kwako......
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa. Jamaa amecha legacy kubwa sana ndani ya FBI na ndio maana hata jengo lao la makao makuu pale Washington limepewa jina lake.
 
km mafili yote yalichomwa moto nan alitoa siri hii na nan alifahamu haya mambo kiundani ivo? je alikuwa muwazi kiwango hicho? Je km ndivo tunaweza kumwita mweredi au alidifiwa tu.
Nawaza tu
Mafaili yaliyochomwa moto ni yale ambayo yalikuwa ni kwa matumizi yake binafsi. Yaani yale ambayo alikuwa nayo kwa ajili ya kuwakosoa Marais na watu maarufu.
 

Hapo kwenye namba 8 & 9 Nahisi huyo dikteta wa FBI na srkretari wake walikuwa na mahusiano ya kimapenzi wenyewe kwa wenyewe ndio maana wote wakaonekana ni mabachela ...ukaribu wao na kuelewana kwao kumepitiliza
 
Achana John Dillinger wa Bongo, John Dillinger orijino hakuwa mtu wa masihara, ni mhalifu mkubwa sana na alisumbua sana marekani hadi kufikia kuwa The most wanted Man in America.

Only that he died young, kuna moja ya story kwamba walienda kuiba benki kwa kuzuga kwamba wako wanaact movie, so wanatafuta location ya kufanyea scen ya Bank Robbery, kumbe ndo wameenda kuiba kweli.
 

Hapo kwenye namba 8 & 9 Nahisi huyo dikteta wa FBI na srkretari wake walikuwa na mahusiano ya kimapenzi wenyewe kwa wenyewe ndio maana wote wakaonekana ni mabachela ...ukaribu wao na kuelewana kwao kumepitiliza
Maelezo picha namba 3 tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…