Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's not uncommonHuyo bwana kwa maelezo hayo inaonesha alikuwa mtu hatari sana mbaka kufikia kutishia uhai wa marais, ila hiyo namba 8 inatia mashaka kidogo
Hiyo namba nane could put him under his knees
Alikuwa mtoto wa watuDon’t trust any body, even your wife! Hii kanuni ndiyo inayowafanya wasioe, wala kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wanawake! Hawa viumbe wa kike hawaaminiki hata kidogo! Kumbuka Delilah alivyomsaliti SAMSON
Alikuwa mtoto wa watu
kfa janaNi dikteta katika fani yake.
Bi Hellen Gandy bado yupo au?
Kwa hiyo hakuwahi kuumwa akashindwa fika kazini?Bi Hellen angepata Mimba nani angekua secretary wa John? Ili mtu mwingine asiingie kwenye position ni lazima Bi Hellen asishike mimba ili awe kazini mda wote.
Lakini si alikua na wazazi..ndugu..jamaa na marafiki...kwan unafkr asingeweza kupelelezwa kupitia waoHakuoa wala kuzaa kwa sababu kuu moja!
Ukioa na kuzaa unapelelezeka kwa urahisi sana!
Huwezi kuficha siri zako kwa 100% mashirika ya upelelezi wakati ukiwa una mke au watoto!
Yeye alilitambua hilo na ndio maana hadi leo hatuwezi kumpeleleza tena.
Inawezekana watu wa hovyo wapo lakin wanakua wa hovyo baada ya kupata nafasi ya kuingia mjengoni lakin kabla hujaingia you can't /huaiwezekaniBOT hii ya kwetu mkuu?? Nakatala, Nakatala, Nakatala! BOT ya kwetu pamejaa watu wa hovyo hovyo tu! Wengine hawana hata uwezo wakuwa huko
Sent using, Mashikoro Mageni
nenda google mkuu
Tumewaza sawaatakua alikua anamtafuna bi Hellen Gandy huyo.
Jibu mujarabuHahaha
Update mkuu;Mashaka gani mkuu? Unamjua waziri wa ulinzi wa sasa wa Marekani? Ni Jenerali mstaafu James Mattis nae ni lifelong bachelor. Hajawahi kuoa wala hana mtoto.
Yeye amebobea zaidi katika vita na ndio kitu pekee anachokipenda katika maisha yake.
Baadhi ya vitu havitokei kwa bahati mbaya, hupangwa.