SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Achaneni na kudanganyana,,, eti uchovu ππππ ZENGELI, Aziz na Pacome ni watu ambao wanahitaji kupata space Ili ufanisi wao uonekane zaidi,...Wachezaji toka kwenye timu za Taifa walikuwa hoi kwa kukosa mapumziko ya kutosha.
Zengeli, Aziz Ki, Lomalisa hata Job hawakuwa kwenye ubora wao haswa.
Lini Mamelodi Sundowns walipaki basi ugenini?
Makolokolo SC fans pambaneni na mechi yenu ya leo kwanza maana Mwenzio akinyolewa tilia maji zako.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Rejea 5 - 1 dhidi ya Simba, kipindi Cha kwanza Simba walicheza jinsi Ile ile kama CRB Jana, ila kipindi Cha pili walipokosa discipline na kutaka kushindana na Yanga wakaacha nafasi ambazo AZIZI, PACOME NA ZENGELI walizotumia...
Eti lini MAMELODI alipaki basi ugenini πππ.... labda MAMELODI ATLETICO ya NDUNDUNYIKANZA...ππ
ENDELENI kujilipua mkidhani mnapambama na akina MARUMO πππ....