Mambo 10 niliyoyaona jana Yanga vs CRB ya Algeria

Mambo 10 niliyoyaona jana Yanga vs CRB ya Algeria

Wachezaji toka kwenye timu za Taifa walikuwa hoi kwa kukosa mapumziko ya kutosha.

Zengeli, Aziz Ki, Lomalisa hata Job hawakuwa kwenye ubora wao haswa.

Lini Mamelodi Sundowns walipaki basi ugenini?

Makolokolo SC fans pambaneni na mechi yenu ya leo kwanza maana Mwenzio akinyolewa tilia maji zako.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Achaneni na kudanganyana,,, eti uchovu 😂😂😂😂 ZENGELI, Aziz na Pacome ni watu ambao wanahitaji kupata space Ili ufanisi wao uonekane zaidi,...
Rejea 5 - 1 dhidi ya Simba, kipindi Cha kwanza Simba walicheza jinsi Ile ile kama CRB Jana, ila kipindi Cha pili walipokosa discipline na kutaka kushindana na Yanga wakaacha nafasi ambazo AZIZI, PACOME NA ZENGELI walizotumia...

Eti lini MAMELODI alipaki basi ugenini 😂😂😂.... labda MAMELODI ATLETICO ya NDUNDUNYIKANZA...😂😂

ENDELENI kujilipua mkidhani mnapambama na akina MARUMO 😂😂😂....
 
Wanasimba punguzeni maneno jamani huwezi jua maana timu yenu mnacheza baadae mnaweza mkafa tatu kwenu huu mpira ujuee alafu yanga kashindwa game mojaa bado safari ndefuu
Simba ikishinda leo ndo MAAJABU, maana ASEC hawatokuja pata Simba ya kuungaunga kama hii.... ukiachana na Ile ya akina CHANONGO....
 
Wachezaji toka kwenye timu za Taifa walikuwa hoi kwa kukosa mapumziko ya kutosha.

Zengeli, Aziz Ki, Lomalisa hata Job hawakuwa kwenye ubora wao haswa.

Lini Mamelodi Sundowns walipaki basi ugenini?

Makolokolo SC fans pambaneni na mechi yenu ya leo kwanza maana Mwenzio akinyolewa tilia maji zako.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wachezaji wangapi wa utopolo walienda timu za taiga na wangapi walicheza dakika 90 kwenye timu zao za taifa

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Nilichokiona ni kwamba timu moja ilikuwa na wavulana wa soka na nyingine ilikuwa na wanaume wa soka!! Wavulana wa soka hulenga kuonekana lakini wanaume wa soka hulenga kupata matokeo!! Kingine nilichokiona ni kuwa mechi ya jana imethibitisha kuwa ubora kwenye mashindano ya kombe la losers haufui dafu kwenye mashindano ya kombe la mabingwa!!
Mwakarobo voice,,
 
Back
Top Bottom