Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Simba mbovu ya kina Jobe na simba alitinga roboUn
Unadhani ayo ni mashindano ya chandimu,,kwakuwa yanga kashindwa kusonga mtaongea mengi but iyo ni ligi ya mabingwa sio chandimu cup mliyopo nyie,,ubora wa vilabu vilivyopo uko ni tofauti na kwenu ivyo usitambe ukimaliza maneno!