Mambo 10 niliyoyaona leo Simba ikitinga Nusu Fainali na Kuivaa Stellenbosch ya Afrika Kusini

Tatizo unadhani kukimbia dakika 90 kwenye matope ni kazi rahisi. Uwanja ule umejaa tope

Wewe hapo ukiambiwa ukimbie dakika 10 tu tena kwenye lami ya Kibaha maili moja kwenda Kimara mwisho huwezi maliza hata dakika tano unatapika chipsi zote ulokula😎
 
Viungo wa Simba hawana kasi, Wachezaji wenye kasi ni Mpanzu na kibu kidogo, Kagoma na Ngoma wazito na wanacheza pole pole
Ndio maana kocha anawachezesha. Ni maelekezo yake.
 
Uchambuzi Mzuri mkuu, Umejitahidi sana Kuchambua.

Makosa ni Machache hasa kwenye Ushirikina na Position ya Mohamed Hussein.
 
Ahoua ni mchezaji anae jaribu ku impress mashabiki na kuishia kupoteza mipira kizembe... option ya kumtumia ngoma pamoja na kua ni mzito naona ni Ile accuracy yake kwenye kutoa paso(kwenye Hilo huyu ni mwalimu)...ukitaka kupigwa mawe MTAANI basi muongelee vibaya mpanzu
 
Ahoua ni mchezaji anae jaribu ku impress mashabiki na kuishia kupoteza mipira kizembe... option ya kumtumia ngoma pamoja na kua ni mzito naona ni Ile accuracy yake kwenye kutoa pasi(kwenye Hilo huyu ni mwalimu)...ukitaka kupigwa mawe MTAANI basi muongelee vibaya mpanzu
 
Kwenye mechi ngumu anaanza Ngoma kwakuwa anauwezo wa kukaba na kutoa pasi sahihi:

Debora anauwezo wa kupeleka mashambulizi mbele ila kwenye kukaba hamfikii Ngoma:

Ngoma akisimama na Kagoma kuna ukuta unajengwa kabla ya kuzifikia beki za simba kwakuwa wote wanakaba pia:

Kumbuka kuna mechi hapa kati Kagoma alimsabu Hamza na alicheza vizuri namba 5:

Mechi nyepesi anaanza Debora:
 
Kiongozi, hapo kwa Wasauzi (Stellenbosch) Simba inatakiwa ajipange vizuri. Wale hawachelewi kukuadhiri hata nyumbani kwako (rejea mechi yao na Zamalek jana na walivyocheza na Mamelodi kwenye ligi yao, Mamelodi alipigwa ndani nje). Hivyo, uchezaji ule wa slow wa viungo wa Simba inabidi ufe maana jamaa wana spidi ile mbaya. Simba inabidi wacheze kwa kasi kama anavyocheza Mpanzu Kibisala, nje ya hapo watawapigia hapo hapo kwa Mkapa.​
 
Achana na Ahouaaa....achana na Hamza....
Na hakuna wa kumtoa hapo ahouaa...mkae kwa kutulia...acheni ujuaji
Mpira wa bongo nahisi unafuatiliwa na marobot 😂 jitu linalosema Ahoua hafai kucheza Simba pengine mpira linaangalia kwa matukio, haoni ni kwa namna gani Ahoua analink vizuri na Mpanzu! Huu uhatari wa Mpanzu uwanjani kwa asilimia kubwa unachangiwa na huyo Ahoua.

Simba kwasasa pale mbele tunahitaji winga wa kulia anayetumia mguu wa kushoto na namba 9 shughuli imefungwa.
 
Aweke CV yake hapa Simba wamuajiri kama technical analysis..m
 
mtu ambaye yupo karibu na fadlu amwambie kuwa kibu aache kukokota sana mpira, awe anaachia pasi sahihi kwa wakati sahihi.

Shabalala huu mwaka wa 6 nalalamika kuwa hatuna beki wa kushoto pale. Mzuri kwenye mechi za ndani ambazo wachezaji hawana kasi ila mechi za kimataifa ndio unaona udhaifu wake anapokutana na winga wenye kasi.

Ngoma huu mwaka wake wa mwisho , Simba watafute kiungo mwingine mbadala.

Namba kumi ya Ahoua sio ya kutumainiwa dogo ana mapepe mno.
 
Na nusu Simba anamalizia ugenini, mechi lazima waimalize nyumbani. Kwa mpira wa afrika kumalizia mechi ugenini Inahitaji uwe na timu ya maana sanaaa. Fitna ni nyingi sana hasa nafasi ya kufuzu ikiwa 50/50 then uko ugenini lazima timu na management ijipange Kwa Hilo kikamilifu.
 
Tshabalala anayecheza upande wa kushoto anasumbuliwaje tena na Winga wa kushoto?

Winga wa kushoto alitakiwa amsumbue Kapombe.

Otherwise tukubaliane kuwa Mohamed Hussen kuna muda ali switch kupiga right full back.
Ameshindwa kueleza vizuri ni kwmba yule jamaa alikuwa ni left footer anatokea upande wa kulia.
Alimsumbuwa sana Zimbwe Jr Kwa kwl ,
Kuna Moja alimzunguka zimbwe jr alkapiga cross ,
Kuna jamaa akapiga free header Camara akaipangua..
 
Sasa unamsifu mpanzu kwa lipi, wa kusifia ni waarabu kwa kuwa dhaifu na kutoonyesha upinzani wowote, mda wote walipaki basi😀
 
Sawa chura sasa chama yule mzee wanini sisi kmmmk zako kajambe uko
Bwana mdogo punguza matusi ushindi wa jana wa Simba nimegegeda demu mishindo minane hapa nilipo nashindwa kuinuka kwa kizunguzungu naomba msaada wenu..
 
Uto nyuma mwiko. Shukrani kwA UCHAMBUZI wa kimburula
We jamaa ni mjinga sana, mfatilie huyo mleta uzi ni kolo mwenzio, tatzo la watanzania wengi mna ujinga mwingi mnataka mfanane wote mawazo kisa tu mko timu moja au chama kimoja cha siasa,
Mtu akitoa mawazo tofauti na myatakayo mnaona yuko upande mwingine. Hakika kuzishabikia kupitiliza Simba na Yanga ni utahira
 
Ulichopaswa kufahamu ni kwamba..mechi ya jana haikuhitaji kucheza kwa speed isiyopangiliwa bali kutengeneza mashambulizi kwa utulivu na kupita kwenye njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…