Mambo 10 niliyoyaona leo Yanga Vs Simba

Shabiki mpuuzi kama wewe ni wa kupuuza. Hiyo No.2 Una ushahidi wa Inonga kujivunja? Hujawahi hata kucheza chandimu unachonga mdomo kama Chuchunge!! Lomalisa katoka dakika ya 6 tu naye Yanga waseme kajivunja?
Halafu Mambo 10 ya mechi yanakuwaje ya upande mmoja kama siyo Uzuzu?
 
Bado hujamaliza kusema!!
11. Mangungu na Try Again watuachie timu yetu.
12. Mo aweke mzigo wa kueleweka ili tusajili wachezaji wa ukweli kama Caesar Manzoki.
13. Mechi zote za simba msimu ujao zichezeshwe na waamuzi Tatu Malogo na Ahmada Simba.
14. Mzee Kilomoni na Mwina Kaduguda wapewe timu.
15. Mechi zote dhidi ya Yanga zichezwe mchana wa jua kali, badala ya jioni/usiku.
 
Kweli ugonjwa wa akili upo.Achana nae huyo
 
Wachezaji wa kimataifa wanaofaa kupewa mda ni Miquison,Babacar,Kanuti,Ngoma,Ayubu,Chama.
Inonga na Shemalone wana makosa makosa ya kudumu,Saido anatakiwa aondoke na viboko juu
Malone hana kosa kabisa, yule bwana hana partener wa kumwamini. ni kama anacheza mwenyewe. inonga haaminiki tena, kisaokolojia anataka kuondoka simba msimlazimishe abaki.
 
Huwa mna uhakika Simba na Yanga wakikutana hao ni wachezaji wa ukweli au misukule?

Mechi zao huwa mchezo mbovu sana wakikutana
 
Unawaita wa kawaida na wamekutoboa mara mbili..umetoka sayari gani ww
 
Kama yanga wangeamua waliamshe kipindi cha pili,kesho pale msimbaz pasingefaa,key players walipunguzwa kipind cha pili

Sent from my OPPO A83 using JamiiForums mobile app
Tusijifanye wataalamu kuliko makocha. Kuna kocha anaamua timu yake isiliamshe bila sababu? Wanajua faida na madhara, kwa hiyo si kweli hawakuamua, ila uwezo uliishia hapo
 
Benchika Hana uwezo... 😁😁😁 Mkuu tumefungwa kihalali acha kuonesha ujinga hadharani!
 
6.Ngoma, Babacar, Sadio Kanoute, Freddy, Jobe, Saido imetosha sasa.
Hivi nyie huwa mashabiki wa Simba naona mnijibu leo. Ngoma na Freddy wana matatizo gani?

Huwa naona comments nyingi sijui hawafai mara hivi mara vile ila sijawahi kuelewa hawa watu wamasemwa vibaya kwa sababu zipi hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…