Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hivi ni mzawa?Awesu fundi
ongezea chasambi nae aingie kwenye mfumo dogo mzuri sana huyu nae1.Awesu Awesu fundi wa mpira
2.Awesu Awesu Fundi wa mpira
3.Awesu Awesu Fundi wa mpira
4.Awesu Awesu fundi wa mpira
5.Jeans Charles Ahoua anamfanya Mukwala aonekane nyoka wa kibisa, nafasi yake asimame Awesu Awesu
6.Okajeph au Kagoma ndio mbadala wa Mzamiru, Mzamiru anachelewesha sana mipira
7.Abdulrazak Hamza mzawa halisi wa kibongo
8.Timu bado inacheza kwa slow iongeze spidi
9.Mukwala anaonekana mchovu kwa sababu ya Ahoua
10.Kiungo wa chini awe Okajepha, wa juu Debora kumi Awesu Awesu fundi wa boli, nna hakika ipo siku mtu anakula 8
Fundi wa mpira katika mechi 1 tu, Aden Rage azidishiwe tuzo kwa kuvumbua jinsi Makolokolo walivyo Mbumbumbu.1.Awesu Awesu fundi wa mpira
2.Awesu Awesu Fundi wa mpira
3.Awesu Awesu Fundi wa mpira
4.Awesu Awesu fundi wa mpira
5.Jeans Charles Ahoua anamfanya Mukwala aonekane nyoka wa kibisa, nafasi yake asimame Awesu Awesu
6.Okajeph au Kagoma ndio mbadala wa Mzamiru, Mzamiru anachelewesha sana mipira
7.Abdulrazak Hamza mzawa halisi wa kibongo
8.Timu bado inacheza kwa slow iongeze spidi
9.Mukwala anaonekana mchovu kwa sababu ya Ahoua
10.Kiungo wa chini awe Okajepha, wa juu Debora kumi Awesu Awesu fundi wa boli, nna hakika ipo siku mtu anakula 8
Kwavile kafunga, umesahau alivyoimbwa Jobe alivyoingia uwanjani mashabiki wa Simba hawakutaka kusubiria muda wakaanza kumsifia Jobe ni bonge la fundi halafu wakamsema Freddy kuwa ndio garasa.Fundi wa mpira katika mechi 1 tu, Aden Rage azidishiwe tuzo kwa kuvumbua jinsi Makolokolo walivyo Mbumbumbu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Chasambi ni mzuri kuliko Kibu sijui kwanini kocha anambania.Kocha ni kama hamuelewi Okejepha wakati mimi naona ni bonge la kiungo.
Chasambi kocha atatupotezea mzawa mwenye kipaji.
Pia kocha hatamaliza msimu.
HahhaahhaAwesu ndio anamalizia mpira wake ,
Mngemuona kipindi yupo Arusha anacheza ndondo 2010 mngesemaje?
Nashangaa Leo et ana miaka 28
Ina maana kipind kile anakichafua Sheikh Amri Abeid pale Arusha alikuwa ana miaka 14?