Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mashujaa na Kagera tuuNgoja tukuone kwa azam au singida
Mangungu na Mwamedi wanataka mashabiki wa design hiyoKwavile kafunga, umesahau alivyoimbwa Jobe alivyoingia uwanjani mashabiki wa Simba hawakutaka kusubiria muda wakaanza kumsifia Jobe ni bonge la fundi halafu wakamsema Freddy kuwa ndio garasa.
Hanatofauti na mchezaji chipukizi wa tff aka mzize, kakimbiza bodaboda miaka mi3 leo hii tunaambiwa kinda wa miaka 18Awesu ndio anamalizia mpira wake ,
Mngemuona kipindi yupo Arusha anacheza ndondo 2010 mngesemaje?
Nashangaa Leo et ana miaka 28
Ina maana kipind kile anakichafua Sheikh Amri Abeid pale Arusha alikuwa ana miaka 14?
Watabisha ila ndo ukweliHamna kitu
Kwani kaanza kucheza na kuonekana leo?Fundi wa mpira katika mechi 1 tu, Aden Rage azidishiwe tuzo kwa kuvumbua jinsi Makolokolo walivyo Mbumbumbu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
UnaotaSimba kwenye nafasi ya tatu hana mpinzani.
π«π«π«1.Awesu Awesu fundi wa mpira
2.Awesu Awesu Fundi wa mpira
3.Awesu Awesu Fundi wa mpira
4.Awesu Awesu fundi wa mpira
5.Jeans Charles Ahoua anamfanya Mukwala aonekane nyoka wa kibisa, nafasi yake asimame Awesu Awesu
6.Okajeph au Kagoma ndio mbadala wa Mzamiru, Mzamiru anachelewesha sana mipira
7.Abdulrazak Hamza mzawa halisi wa kibongo
8.Timu bado inacheza kwa slow iongeze spidi
9.Mukwala anaonekana mchovu kwa sababu ya Ahoua
10.Kiungo wa chini awe Okajepha, wa juu Debora kumi Awesu Awesu fundi wa boli, nna hakika ipo siku mtu anakula 8
Kushinda tunashinda lakini mpira hauna raha kama kipindi cha robatinhoongezea chasambi nae aingie kwenye mfumo dogo mzuri sana huyu nae
Yana muda basi Mkuu Manyanza Tuwaonee huruma, nao wapate furaha ya muda. Ligi ikikolea hapa, utaona nyuzi za fukuza uongozi, makocha. Leo acha watambe na honi juu, ila kitawakuta kitu π π π ππ«π«π«
Bantu Lady wanatamba Huku πͺπͺπͺ
Unasemaje wee kiuno kibovuMasikini simba inatia huruma