Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
1. Sina wa kumlaumu kwa sababu mwenyezi Mungu asingekubali 'mitume' idhalilike kwa rangi nyeusi.
2.Sina wa kumlaumu mpira mwingi umepigwa na Stars leo isipokuwa rangi ya 'mitume' nuksi
3.Sina wa kumlaumu ila naomba kipa Yakubu Selemani apewe gari hivyo hivyo hata kama ameruhusu goli
4.Sina wa kumlaumu kwa sababu Wydad, RS Berkane na Raja wenyewe wanatuhangaisha sembuse Stars
5.Sina wa kumlaumu kadi ya Kagoma ilimfanya apoe na ndio sababu ya waarabu kutuondoa
6.Sina wa kumlaumu mpira una matokeo matatu, kufungwa, kushinda na sare
7.Sina wa kumlaumu tujipange na CHAN ijayo
8.Sina wa kumlaumu tuboreshe kikosi chetu safari ijayo akina Yahya Zayd, Bajana, Kevin Nashon na wengineo waangaliwe kwa jicho la mwewe
9.Sina wa kumlaumu timu za kiarabu zinasumbua sana hapa Afrika
10.Sina wa kumlaumu Mzize amekosa bahati tu vinginevyo tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi
Soma Pia: CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku