Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Ha ha haaa
Ha ha haaa
Hao wachezaji wa Azam ni majeruhi..ila kilichonishangaza kumwacha Valentino mashakaKocha Morocco alichagua kikosi finyu, as if anenda kucheza mechi moja! Unawaachaje, Yaya zaid, Mutasingwa, Edmund John, Chikola, Valentino mashaka..
Valentino team ya under 20 kule Misri alitoka bila goli huwezi kumuweka level Moja na top strikers wa nchiHao wachezaji wa Azam ni majeruhi..ila kilichonishangaza kumwacha Valentino mashaka
Huyo Valentino Mashaka kwenye timu yake hata mechi za kirafiki hachezi ndiyo mnataka aibebe starsBilioni moja ileeeeeee......
Machozi ya mama!😂😂😂Mama tufute machoziii jamniii
Aibu ya mama!😭😭😭Ha ha haaa 🤣🤣🤣
Niliona ile cellotape sijui insulation tape sijui adhesive tape ya kufungia mizigo!?
Aibu kabisa.