musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Mlamba asali huyo mkuu[emoji2957]Hakuna kitu, hapa sema tu Serikali ishukuru kuongoza Taifa la wapumbavu, Hivyo unavyo vitaja havipo Nchi yoyote ile ilio piga mapinduzi ya Kilimo.
Nikuambia mataifa yote yalio fanya mapinduzi ya Kilimo yaliwekeza vilivyo yaanu bajeti zao za kilimo ni kubwa kuliko hata za Ulinzi.
Unazungumzia kuongeza sijui nini fullu usaniii mtupu.
Huwezi taja mapinduzi ya Kilimo wakati zilizo kuwa shule za Michepuo ya Kilimo zimekufa,
Huwezi taja mapinduzi ya Kilimo wakati vyuo vya kilimo vingi viko taabani na yamrvakia magofu tu.
Eti maghara nje ya nchi ya kuhifadhi tani 5000, hizo ni tani zinaweza hifadhiwa na mfanya bishara wa kati.
Shukuruni tu mnaongoza taifa la wapumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app