Mambo 10 tuliyofanikiwa katika kilimo chini ya Rais Samia Suluhu

Mlamba asali huyo mkuu[emoji2957]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa juhudi hizi za serikali ya awamu ya sita atakaelelemika hana ajira huyo ni mvivu Rais Samia Suluhu amejitahidi sana kutuletea kutuinua vijana
Mkuu kama Mungu amekusaidia usibeze wengine...serikali hasa za Africa hazinachango kabisa kwaaendeleo binafsi ya wananchi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya awamu ya sita ipo makini sana inatimiza kila ahadi kwa vitendo kama unafatilia vizuri Sekta ya kilimo sasa imepewa kipaumbele na kilimo kimelahisishwa ata pembejeo za kilimo zinapatikana kwa bei nafuu kabisa
"Kimelahisishwa[emoji23]"...nitajie bei ya pembejeo zinazo uzwa bei rahisi kulinganishwa na ipi au nchi gani...njaa itawaua na kuwadhalilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly imesaidia pia kukipa kilimo kipaumbele na kukiwezesha kua kilimo cha biashara na ajira pia imetoa ruzuku ya mbolea, pia imeandaa mashamba kwaajili ya vijana
Ruzuku ya mbolea imetolewa kiasi gani...na bei mpya itakua sh.kwa mfuko wa kg 50. mhe. waziri wa kilimo?

Mashamba yaliyoandaliwa ni ya kilimo gani mhe. waziri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…