Jini mtuu
Member
- May 22, 2022
- 45
- 53
1. MAFANIKIO
Hapa mtu anaeza sema amelogwa au ameibiwa nyota.
Kama ni kazi anapata lakini haidumu na kama itadumu basi atachukiwa kazini na viongozi basi atapendwa na wafanyakazi wenzake.
Watampenda kwa sababu ataonekana mjuaji na kweli watu wasio na imani mungu huwapa kipawa cha kua na akili ya kitu usiombe awe mgeni akifundishwa tuu anaeza mzidi mpka aliemfundisha.
Akiwa kiongozi basi hawezi kudumu na wafanyakazi atakua mtu anayebadilisha wafanyakazi mara kwa mara.
2. JAMII
Watu hawa hupenda kua na ushurikiano na wenzao ingawaje wanabahati mbaya ya kupoteza ushauri wao buree wanakua washaur wazuri juu ya kitu cheny tija lakini hawasikilizwi kutokana na kuonekana anajipendekeza au kuingilia mambo yasiomhusu. Anaweza pia kujitoa ili tu fulani apate na akafanya hivyo inshort hana roho mbaya.
3. AFYA
Mtu huyu anamambo ya ajabu kuoga kwake mpaka apende au ajisikie kama yupo single ndio kabisaaa swala la usafi mwilini mwake apende yeye anaweza kuamkaa akihisi tuu yupo njee ya muda kama kachelewa hata huo mswaki kwake ni shida, akifaki sehemu husika akihakikisha kuposhwari anaweza Sasa akaoga hata hiyo sehemu au kujisafisha.
Anaweza pia akaa zaidi ya siku 3 au mbili hakufanya usafi wa chumbani kwake kama ni mtu mkubwa siku tuu akaamua kufanya usafi Babu kubwa, mpka mtu ukiingia unashaangaa.
4. MAHUSIANO
Mahusiano yake ya kusuasua. Ana bahati ya kupendwa sanaa. Lakini mara chache tuu humizwa kama kapenda yeye lakini pia hajali husia za mpezi wake anapenda kupendwa yeye mara kwa mara ni mtu anaweza kumsia mpenzi wake ukasema ndio huyo dunia nzima yupo yeye tu au kumdharirisha na ukaamini ana tabia ya kufuata makoloni (ma x) ambao kasha achana nao.
5. ELIMU
Maake hapa Kwanza ncheke. Hakuna elimu hawana au hawaijui jap 8/8. Yaani theruthi ya elimu hiyooo kwasabubu ni watu ambao ubongo wa hujafungamana sehemu moja basi kila kitu anataka kukijuaa, hata kama hakiwezi yupo radhi akifanyie utafiti wa kina na maswali ya bugudha kwa wanaijua.hawana bahati ya kufika elimu ya juu kabisaa ispokua huishia njiani kutokana na kua na mambo mengi na kubaki nyuma kwa maswali ya kudodosa, wakati wenzake wanakenda mbele.
6. AJIRA
Ajira zao huwa za kistadi na wakati mwingine hata za kitaaluuma. Ila akiwa na ajira za kitaaluuma zaidi basi atakua malayaa sanaa au mlevi mbwaaa. Lakini katika majukumu yake yupo best more than others. Kama kistadi atakua muongo sana au mmbishi kupitiliza.
Tuishie hapo soon nitaja kufanya muendelezo.
Wako jini mtu
Mjenzi huru wa fikra