poverty eliminator
Senior Member
- May 31, 2015
- 109
- 150
Maelezo haya yameegemea katika upande wa nadhari ya HIV/AIDS kwamba ni nadharia ambayo ni ya uongo/utapeli. Maelezo haya hayatolewi kama ushauri au maelekezo ya kitabibu.
Mleta maelezo haya kamwe hatowajibika katika masuala binafsi ya matibabu ya mtu kutokana na maelezo haya. Isipokuwa maelezo haya yanatolewa kama sehemu ya elimu na kupeana ufahamu wa mambo yanayoendelea katika huu ulimwengu.
Kumbuka maelezo haya si sheria au msahafu. ("If you want to hide something from African, put it in a book")
Hizi ndiyo sababu kumi za kisayansi kwanini kirusi cha HIV hakiwezi kusababisha UKIMWI, kwa kuanza tuchukue microscope na kukiangalia kirusi kwa ukaribu kama ifuatavyo;
1. HIV KIKIWA KAMA VIRUSI VINGINE HAKINA MADHARA BAADA YA KINGA YA MWILI KUWA GENERATED
HIV hakina tabia tofauti na virus wengine. Kirusi kinapofanya infection kwenye mwili wa binadamu huwa kinavamia seli za binadamu husika na kujidurufu (replicating) katika kiwango kikubwa sana na kuzalisha chembechembe mpya za virusi ambavyo hujimwaga kwenye mkondo wa damu (blood stream) na kuathiri seli zaidi; hiki ni kipindi ambacho kiwango kikubwa cha virusi kinaweza kuwa isolated kutoka kwa mgonjwa na dalili za ugonjwa zinaanza kuwa wazi au kuonekana.
Katika hatua hii mfumo wa kinga ya mwili huwa una respond kwa haraka kwa kuzalisha antibody protini maalumu kwa ajili ya kushambulia na kuangamiza hizi chembe chembe za virusi. Wakati huu mpambano kati ya antibody protini na chembechembe za virusi unapopamba moto antibodies zinalishwa kwa haraka sana na kudhoofisha virusi ambao wako active mwilini. Ingawa katika baadhi ya kesi kama za virusi vya ugonjwa wa malengelenge (Herpes) wanaweza kuendeleza maambukizi kwa kujificha kwenye baadhi ya tishu.
Virusi wa kundi la retrovirus kwa asili yao hupenyeza taarifa zao za kijenetiki katika seli za binadamu au mnyama ambazo zimeathiriwa na kuwa virusi mfu (dormant virus) mara tu vinapo angaamizwa na mfumo wa kinga ya mwili.
Kirusi cha HIV kikiwa kama virusi wengine kinaweza kufikia kiwango cha juu cha virusi (Kiwango cha chembechembe laki moja (100, 000) kwa mililita moja ya damu) kwa mara ya kwanza kinapoaathiri mwili wa binadamu. Lakini kwa watu wengi kirusi cha HIV kinakuwa kimeshaharibiwa na antibody ambayo imezalishwa na mwili zidi ya kirusi husika.
Antibody ndiyo sababu inayotufanya tuwe na kinga ya maisha zidi ya magonjwa kama Polio. Ironically mtu anapopimwa na kukutwa positive, kinachopimwa sio virusi bali ni antibody ambayo imezalishwa kupambana na hao virusi.
Mtu anapopimwa na kukutwa positive, maana yake mwili wa mtu huyo umezalisha kinga zidi virusi yaani maana yake huyu mtu yuko salama zidi ya hao virusi.
Kumbuka: Virusi wote husababisha ugonjwa kabla ya kinga ya mwili haijazalishwa (Before Antibody to be around not after).
Haijawahi kutokea kirusi kikasababisha ugonjwa baada ya kinga ya mwili kufanya kazi yake…….bali UKIMWI ndivyo unavyotafsiriwa yaani mtu anaweza kuwa infected sasa akaja kuugua miaka kumi baadaye.
Wanasayansi wengi wanajiuliza kwanini ukweli huu umepinduliwa juu chini?
Na kwanini pesa nyingi zinatumika kutafuta kinga zidi ya HIV wakati kinga tayari ipo baada ya mtu kukutwa positive anapoenda kupima?
2. HIV HAINA UWEZO WA KUUA T-SELI INAZOZIAMBUKIZA
H.I.V vinaweza tu kuiua T-Seli yake kwa nadra sana katika majaribio ya kimaabara. Na ni ukweli uliowazi, Robert Gallo mwenyewe ambaye ni Co Founder Of HIV na watafiti wengine wa HIV Hutumia T-Seli ili kukuza virusi sababu T-Seli huishi katika mfanano (Compatibly) na HIV.
3. HIV HAINA UWEZO WA KUATHIRI T-SELI ZA KUTOSHA KIASI CHA KUSABABISHA UKIMWI
Mara tu mwili unapozalisha kinga na kuangamiza virusi vya HIV, virusi wengi wanakuwa wameangamizwa, hivyo hawana uwezo wa kuua T-seli kiasi cha kushusha mfumo mzima wa kinga wa binadamu.
T-seli huzalishwa kwa kiwango cha 5% kila siku na HIV ina uwezo wa kuathiri T-seli moja tu kati ya T-seli 1000, hata waanzilishi wa nadharia ya HIV/AIDS wanakili kuwa ni changamoto kwao kuelezea kiwango hiki kidogo cha kuharibiwa T-seli na kirusi cha HIV. Ili HIV iwe na uwezo wa kusababisha UKIMWI inapaswa kuua nusu ya T-seli.
4. HIV HAINA GENE YA UKIMWI
HIV haina gene maalumu au sababu ya pekee ya kijenetiki kusababisha UKIMWI.
Retrovirus wote wana gene kuu tatu, nazo ni; GAG, ENV, POL. HIV inafanana na retrovirus wengine wote kijenetiki. Na kitu ambacho watu wengi hawakifahamu ni kwamba kuna retrovirus 50-100 katika mwili wa mtu mwenye afya na wote wako chini ya ulinzi wa mfumo wa kinga. HIV haina tabia tofauti ambazo hawa retrovirus wengine hawana.
Swali linakuja, kama hawa retrovirus wengine hawasababishi ukimwi, kwanini HIV isababishe UKIMWI? Na kama HIV inasababisha UKIMWI kwanini hawa virusi wengine hawasababishi?
Hivyo basi hakuna sababu ya kijenetiki inayoweza kuelezea kwanini HIV inasababisha UKIMWI.
5. HAKUNA KITU KINACHOITWA KIRUSI WA POLEPOLE
HIV inasemekana kuwa ni kirusi cha polelepole sababu inachukua miak 10 mpaka 12 kusababisha UKIMWI, yaan kutoka siku ya maambukizo mpaka kuanza kuonyesha dalili za UKIMWI.
Njia pekee ya kuulezea hili ni kukipa kirusi cha HIV nguvu za kiuchawi au za giza (magical power) za kujiamsha(reactivate), kujibadili (mutate), kuhama (migrate) na kupumbaa( hiberanate).
Waanzilishi wa nadharia ya virusi wa polepole ni Gajdusek na Dr.Robert Gallo, waliitumia hii nadharia kama janja ya kuwapumbaza watu pindi virusi vyao viliposhindwa kufanya kazi.
According to Dr.Peter Duesberg " There is no such thing as a slow virus…..Only Slow Virologists"
Kwa lugha ya nyumbani ni kwamba "Hakuna kitu kinachoitwa virusi wa polepole………bali kuna wanavirusi wa polepole"
Virusi wote wakiwemo virusi wa kundi la retrovirus husababisha ugonjwa ndani ya siku kadhaa, wiki au kipindi kisichozidi mwezi baada ya kufanya infection. Kipindi hiki kwa lugha ya kitaalamu hujulikana kama Incubation Period.
Kipindi hiki cha Incubation Period hutegemeana na Generation time ya kirusi husika, yaan ule muda ambao kirusi anautumia kuzalisha chembechembe mpya na kuathiri seli.
Kipindi hiki (Generetion Time) kwa virusi wote ambao husababisha magonjwa kwa binadamu huwa akizidi wiki au wiki 2, ikizidi sana wiki 3. Kwahiyo chochote ambacho kinaweza kufanywa na kirusi katika mwili wa binadamu basi hufanywa katika kipindi hiki, kama kirusi kitashindwa kufanya madhara ndani ya kipindi hiki basi kirusi hicho sio sababu ya ugonjwa husika.
Kwa kuzingatia ukweli huu wa kisayansi HIV imeshindwa kusababisha UKIMWI katika kipindi cha siku kadhaa, wiki au mwezi. Hivyo HIV haiwezi kuwa sababu ya UKIMWI.
Kumbuka:
Wakati ukimwi unaanzishwa mwaka 1984 incubation period ya ugonjwa wa ukimwi ilikuwa ni mwaka mmoja tu, lakini hadi kufika mwaka 1996 incubation iliongezeka hadi kufikia miaka 10-12. Leo hii 2015 si kumi tena ni zaidi ya kumi 12.
6. HIV SIO KIRUSI KIPYA HIVYO HAKIWEZI KUSABABISHA UGONJWA MPYA
Kutokana na maelezo yaliyotolewa June 1995 na kituo cha kudhibiti magonjwa marekani (CDC), kesi ya UKIMWI kwa marekani iiliongezeka kutoka sifuri (0) mwaka 1980 mpaka kufikia laki nne na sitini elfu mia tisa sabini na tano (460,975) mwaka 1995.
Kutokana na ongezeko hilo iliaminika kwamba HIV lazima kitakuwa kirusi kipya ambacho ndiyo kinasababisha ugonjwa wa UKIMWI.
Lakini swali la msingi ambalo waanzilishi nadharia wa UKIMWI wamelikwepa, HIV ina muda gani hapa duniani? Na Imetokea wapi?
Baadhi ya wanasayansi wanasema HIV imeanzia Africa, lakini kutokana na kanuni ya mwanasayansi Farr (FARR'S LAW), HIV imekuwa ikiathiri kila kizazi kwa karne nyingi bila kusababisha UKIMWI.
Hivyo HIV ni kirusi ambacho kimekuwepo enzi na enzi na kimekuwa kikisafirishwa kwa njia ya perinatally, yaan kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
KUMBUKA:
Njia ambayo ni efficiently kwa Kirusi cha HIV kusafirishwa (transmitted) ni kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
7. KIRUSI CHA HIV KIMEFELI KANUNI ZA KOCH
Kanuni ya kimataifa inayotumiwa na wanasayansi kutambua iwapo ni kweli ugonjwa umesababishwa na maambukizi, ilitengenezwa zaidi ya miaka mia moja iliyopita na mwanasayansi Robert Koch (The Father of Bacteriology).
Kanuni hiyo ya Koch inasema:
Kiumbe (kirusi):
Wanasayansi wa VVU/UKIMWI wanadai kwamba Kanuni za Koch ni za zamani na zipo nje ya wakati (outdated) katika sayansi za kisasa. Lakini wao wamesimama na mitihani ya muda. Nadharia za magonjwa amabayo yamepuuza kanuni za Koch, zote zimefeli; nadharia ya kuambukiza ya kiseyeye (scurvy), pellagra, beriberi, SMON na utafiti juu ya virusi wa kansa, magonjwa haya yote yamefeli sababu za kupuuza kanuni za Koch. Na sasa VVU / UKIMWI?
8. UKIMWI umebakia ugonjwa wa makundi yale yale ya awali hatarishi kwa zaidi ya miongo 3:
Ikiwa ugonjwa hausambai, lazima uwe umesababishwa na kitu kingine kisicho cha kuambukiza. Kituo cha kudhibiti magonjwa cha Marekani (CDC) kimethibitisha hilo katika taarifa yake mwaka (1997) kwamba UKIMWI hauenei sawa katika jamii nzima.
UKIMWI katika makundi hatarishi (Marekani, 1995/96):
IKiwa ni kweli UKIMWI unasababishwa na virusi vya Ukimwi, wagonjwa wa UKIMWI wasio katika makundi hatarishi walitakiwa wawe wanaongezeka zaidi ya wastani wa asilimia 10% kadiri ugonjwa unavyosambaa.
Kumbuka kwamba wakati jeshi la Marekani lilipokuwa likifanya vipimo kwa makuruta liligundua kuwa matokeo ya watu waliopima na kukutwa na VVU yalikuwa yamegawanyika hamsini kwa hamsini, asilimia (50%) wanaume na wanawake asilimia (50%). Hata hivyo, asilimia 85% ya wagonjwa wa UKIMWI nchini Marekani ni wanaume.
Kumbuka pia kwamba nchini Marekani wanaume hutumia zaidi ya asilimia 80 ya madawa yote makali ya kulevya. Kati ya wanawake wenye UKIMWI, asilimia 60% wanakiri kutumia madawa makali ya kulevya.
9. Uwiano wa watu wenye Ukimwi kimataifa unatofautiana sana (Nchi za Viwanda na Afrika)
Ugonjwa wa kuambukizana kadhalika utaleta uwiano wa idadi ya watu katika njia hiyo hiyo duniani kote. kuzuka kwa kipindupindu katika India na Honduras kutakuwa na kiasi hicho hicho. Lakini UKIMWI ni tofauti kabisa katika Marekani au katika nchi za viwanda za magharibi na nchi za Afrika.
UKIMWI katika Afrika ulipaswa kuwa mara 14 juu kuliko katika Marekani. Badala yake, watu wenye VVU Marekani huanza kuugua UKIMWI kwa kasi zaidi mara10 hadi 20 kuliko katika Afrika. Hii ina maana kwamba, wakati muda wa kuishi kwa matumaini ukikadiriwa kuwa miaka 10 hadi 15 nchini Marekani, katika bara la Afrika ni angalau miaka 100-150!
10. UKIMWI hutokea bila ya maambukizi ya VVU na watu wengi wenye VVU kamwe hawaoneshi kuugua UKIMWI:
Ushahidi wa nadharia isemayo VVU = UKIMWI imeegemea tu juu ya uhusiano (correlation). Sababu virusi/hiv hupatikana katika wagonjwa wengi wa UKIMWI, ikadhaniwa huenda hiv/vvu husababisha UKIMWI. Lakini mantiki ya dhana hii ina dosari kwa sababu uhusiano (correlation) hauwezi kuthibitisha Usababisho (Causation), ni kama kusema kila anayefaulu mitihani basi anajisomea sana!
Utokeaji wa kawaida wa VVU/HIV katika wagonjwa wa UKIMWI si ushuhuda tena kwamba VVU husababisha UKIMWI, ni sawa na kusema pia kunguru akisimama kwenye nyanya za umeme ni uthibitisho wa kukatika umeme!
Hivyo, kama VVU na UKIMWI havihusiani, ni rahisi kupata watu wenye UKIMWI bila kuwa na VVU na watu wenye afya ambao wanaishi na VVU lakini kamwe hawauguwi UKIMWI. Na hicho ndicho kinachotokea.
Katika Afrika utafiti umeonyesha zaidi ya asilimia 65% ya wagonjwa wa UKIMWI hawana VVU. Katika Afrika vipimo chanya kwa HIV katika kinga ya mwili havina muhimu kwa ajili ya kuripoti wagonjwa wa UKIMWI; dalili za kuugua muda mrefu zinatosha.
Kesi 4,621 za UKIMWI bila VVU zimejitokeza katika Kituo cha kudhibiti magonjwa cha Marekani (CDC), ripoti ya hadi 1993. Na idadi inaweza kuwa kubwa zaidi lakini tafsiri rasmi ya UKIMWI imeundwa ili kuondoa kabisa UKIMWI bila ya V.V.U.
UKIMWI unatofautiana karibu na ugonjwa wowote ambao umewahi kutokea duniani kutokana na ukweli kuwa hauna dalili maalumu za ukweli za kudumu.
UKIMWI ni neno mwamvuli kwa ajili ya magonjwa mengine zaidi ya 29 ya zamani na mmoja ambao siyo ugonjwa (wa chembechembe za seli T4 wa chini ya 200/ul ya damu) wakati mtu amekutwa na kinga dhidi ya VVU anapofanya vipimo vya ukimwi.
Namna tafsiri ya UKIMWI ya CDC inavyofanya kazi:
Tafsiri rasmi ya UKIMWI inajenga uhusiano wa asilimia 100% kati ya Ukimwi na virusi vya UKIMWI. Uhusiano (correlation) huo siyo lengo au jambo la kisayansi, bali ni usanii na ghiriba zilizojaa maslahi binafsi.
Rejea:
HIV & AIDS - VirusMyth AIDS WebSite - Find
Is 'HIV' Really the Cause of AIDS? Are there really only 'a few' scientists who doubt this?
Ukweli Kuhusu UKIMWI | fadhilipaulo.com
Dr. Kary Banks Mullis
HIV & AIDS - VirusMyth HomePage
Peter Duesberg on AIDS - Duesberg.com - HIV / AIDS research website for Peter H. Duesberg.
ARV Facts | www.ARV-Facts.com | Facts on Antiretroviral Drugs
www.houseofnumbers.com
www.rethinkingaids.com

- Lazima kipatikane katika matukio yote ya ugonjwa huo.
- Lazima kijipoteze kutoka kwa mwenyeji wake na kujikuza binafsi
- Lazima kisababishe ugonjwa ule ule sawa wakati kimedungwa kwa mwenyeji mpya mwenye afya.
- Lazima kipatikane kinakua tena katika ugonjwa wa mwenyeji wake (host/cell).
- Lazima mbegu za kirusi kupatikana katika matukio yote ya magonjwa. VVU/HIV KIMEFELI.
- Asilimia 10 na 20 ya wagonjwa wa UKIMWI hawana VVU/HIV.
- Ni kiasi kidogo tu cha VVU, kwa kawaida virusi mfu (dormant), ndiyo vinaweza kupatikana katika watu wenye UKIMWI.
- Kadhalika ni lazima mbegu ya kirusi (germ) pekee itoke kwa mwenyeji na kukua na kuwa kirusi binafsi. Hili VVU/HIV KIMEFAULU – lakini katika baadhi tu ya watu sababu ya kiteknolojia:
- Kiasi kikubwa cha tishu za seli zinahitajika ili kupata VVU. VVU/HIV kinahitaji mchakato wa kikemikali ikiwa ni pamoja na kuamka, kinyume chake, kiasi kikubwa cha virusi walioamshwa wanaweza kupatikana pamoja na virusi wengine.
- VVU/HIV havisababishi UKIMWI/AIDS katika majaribio kwa wanyama kama sokwe.
- Wahudumu wa afya ambao kwa bahati mbaya huambukizwa VVU wakati wakitimiza majukumu yao mara chache huugua Ukimwi isipokuwa kama ni watumiaji wa madawa ya kulevya au AZT.
- Kadhalika ni lazima mbegu kupatikana ikiongezeka tena katika ugonjwa mpya unaoletwa na kirusi hicho hicho cha aina moja. VVU/HIV KIMEFELI Kanuni hii – kutokana na kuferi kanuni namba 3.
Wanasayansi wa VVU/UKIMWI wanadai kwamba Kanuni za Koch ni za zamani na zipo nje ya wakati (outdated) katika sayansi za kisasa. Lakini wao wamesimama na mitihani ya muda. Nadharia za magonjwa amabayo yamepuuza kanuni za Koch, zote zimefeli; nadharia ya kuambukiza ya kiseyeye (scurvy), pellagra, beriberi, SMON na utafiti juu ya virusi wa kansa, magonjwa haya yote yamefeli sababu za kupuuza kanuni za Koch. Na sasa VVU / UKIMWI?
8. UKIMWI umebakia ugonjwa wa makundi yale yale ya awali hatarishi kwa zaidi ya miongo 3:
Ikiwa ugonjwa hausambai, lazima uwe umesababishwa na kitu kingine kisicho cha kuambukiza. Kituo cha kudhibiti magonjwa cha Marekani (CDC) kimethibitisha hilo katika taarifa yake mwaka (1997) kwamba UKIMWI hauenei sawa katika jamii nzima.
UKIMWI katika makundi hatarishi (Marekani, 1995/96):
- Mashoga wanaume 54%
- Watumiaji wa madawa ya kulevya (IV drug users) 32%
- Hemofilia 1%
- Waongezewa damu 1%
- Mapenzi ya jinsia tofauti 9%
- Watoto 1%
IKiwa ni kweli UKIMWI unasababishwa na virusi vya Ukimwi, wagonjwa wa UKIMWI wasio katika makundi hatarishi walitakiwa wawe wanaongezeka zaidi ya wastani wa asilimia 10% kadiri ugonjwa unavyosambaa.
Kumbuka kwamba wakati jeshi la Marekani lilipokuwa likifanya vipimo kwa makuruta liligundua kuwa matokeo ya watu waliopima na kukutwa na VVU yalikuwa yamegawanyika hamsini kwa hamsini, asilimia (50%) wanaume na wanawake asilimia (50%). Hata hivyo, asilimia 85% ya wagonjwa wa UKIMWI nchini Marekani ni wanaume.
Kumbuka pia kwamba nchini Marekani wanaume hutumia zaidi ya asilimia 80 ya madawa yote makali ya kulevya. Kati ya wanawake wenye UKIMWI, asilimia 60% wanakiri kutumia madawa makali ya kulevya.
9. Uwiano wa watu wenye Ukimwi kimataifa unatofautiana sana (Nchi za Viwanda na Afrika)
Ugonjwa wa kuambukizana kadhalika utaleta uwiano wa idadi ya watu katika njia hiyo hiyo duniani kote. kuzuka kwa kipindupindu katika India na Honduras kutakuwa na kiasi hicho hicho. Lakini UKIMWI ni tofauti kabisa katika Marekani au katika nchi za viwanda za magharibi na nchi za Afrika.
UKIMWI katika Afrika ulipaswa kuwa mara 14 juu kuliko katika Marekani. Badala yake, watu wenye VVU Marekani huanza kuugua UKIMWI kwa kasi zaidi mara10 hadi 20 kuliko katika Afrika. Hii ina maana kwamba, wakati muda wa kuishi kwa matumaini ukikadiriwa kuwa miaka 10 hadi 15 nchini Marekani, katika bara la Afrika ni angalau miaka 100-150!
10. UKIMWI hutokea bila ya maambukizi ya VVU na watu wengi wenye VVU kamwe hawaoneshi kuugua UKIMWI:
Ushahidi wa nadharia isemayo VVU = UKIMWI imeegemea tu juu ya uhusiano (correlation). Sababu virusi/hiv hupatikana katika wagonjwa wengi wa UKIMWI, ikadhaniwa huenda hiv/vvu husababisha UKIMWI. Lakini mantiki ya dhana hii ina dosari kwa sababu uhusiano (correlation) hauwezi kuthibitisha Usababisho (Causation), ni kama kusema kila anayefaulu mitihani basi anajisomea sana!
Utokeaji wa kawaida wa VVU/HIV katika wagonjwa wa UKIMWI si ushuhuda tena kwamba VVU husababisha UKIMWI, ni sawa na kusema pia kunguru akisimama kwenye nyanya za umeme ni uthibitisho wa kukatika umeme!
Hivyo, kama VVU na UKIMWI havihusiani, ni rahisi kupata watu wenye UKIMWI bila kuwa na VVU na watu wenye afya ambao wanaishi na VVU lakini kamwe hawauguwi UKIMWI. Na hicho ndicho kinachotokea.
Katika Afrika utafiti umeonyesha zaidi ya asilimia 65% ya wagonjwa wa UKIMWI hawana VVU. Katika Afrika vipimo chanya kwa HIV katika kinga ya mwili havina muhimu kwa ajili ya kuripoti wagonjwa wa UKIMWI; dalili za kuugua muda mrefu zinatosha.
Kesi 4,621 za UKIMWI bila VVU zimejitokeza katika Kituo cha kudhibiti magonjwa cha Marekani (CDC), ripoti ya hadi 1993. Na idadi inaweza kuwa kubwa zaidi lakini tafsiri rasmi ya UKIMWI imeundwa ili kuondoa kabisa UKIMWI bila ya V.V.U.
UKIMWI unatofautiana karibu na ugonjwa wowote ambao umewahi kutokea duniani kutokana na ukweli kuwa hauna dalili maalumu za ukweli za kudumu.
UKIMWI ni neno mwamvuli kwa ajili ya magonjwa mengine zaidi ya 29 ya zamani na mmoja ambao siyo ugonjwa (wa chembechembe za seli T4 wa chini ya 200/ul ya damu) wakati mtu amekutwa na kinga dhidi ya VVU anapofanya vipimo vya ukimwi.
Namna tafsiri ya UKIMWI ya CDC inavyofanya kazi:
- Kaposi sarkoma + HIV = UKIMWI
- kaposi sarkoma – VVU = kaposi sarkoma
- Pneumonia + HIV = UKIMWI
- Pneumonia – VVU = Pneumonia
- Dementia (matatizo ya akili) + HIV = UKIMWI
- Dementia – VVU = Dementia
- Chembechembe chini ya 200 za seli T4 + HIV = UKIMWI
- Chembechembe chini ya 200 za seli T4 – VVU = hakuna ugonjwa