abour
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 735
- 309
Thanks! kk kwa maswali yako. Nikianza na swali lako la kwanza, kama nimekuelewa ni kwamba kuwa na HIV+ kwa wagonjwa wengi wa Ukimwi kunakufanya uamini HIV ndo sababu ya UKIMWI, nadhani niko sawa hapo.
Kumbuka Ushahidi wa hypothesis isemayo HIV ni sababu ya UKIMWI umeegemea juu ya uhusiano (correlation) tu. Sababu virusi wa HIV hupatikana katika wagonjwa wengi wa UKIMWI, hivyo ikadhaniwa huenda HIV husababisha UKIMWI.
Lakini logic ya hii hypothesis ina walakini mkubwa sana kwa sababu uhusiano (correlation) hauwezi kuthibitisha Usababisho (Causation).
Sasa basi kama HIV haina mahusiano na UKIMWI, ni rahisi kupata watu wenye UKIMWI bila kuwa na HIV na watu wenye afya ambao wanaishi na HIV lakini kamwe hawauguwi UKIMWI.
Hakuna siri katika hili, katika bara la Afrika utafiti umeonyesha zaidi ya asilimia 65% ya wagonjwa wa UKIMWI hawana HIV. Huku kwetu Afrika positive results hazina umuhimu kwa ajili ya kuripoti wagonjwa wa UKIMWI; dalili za kuugua muda mrefu zinatosha.
Tuje kwenye swali lako la 2.
Umeuliza ni kwanini ukishiriki tendo na mwenye virusi baada ya muda unakua na dalili zenye kufanana na mwenye ukimwi?
Huo muda ambao unasema kutoka kushiriki tendo na mgonjwa wa ukimwi mpaka kuanza kuugua huwa unaweza kufika hata miaka 20.Sasa kwa kipindi cha miaka 20, unakula diet mbovu, unaugua malaria mara kwa mara, unakula madawa feki, unakula vyakula feki, unafanya ngono mara 60 kwa wiki, je mfumo wako wakinga utabaki vipi salama?????
Pili tuseme imetokea umefanya ngono na mtu mwenye kirusi, miaka 10 bdaye unakuja kuugua ukimwi, hiki kipindi cha kati kuna mambo mengi yanatokea, fikiria kwa kipindi hiki cha miaka imetokea umeenda kucheki afya, baada ya kupimwa ukakutwa upo positive, kinachofuata ni wewe kupanic, kuwa na msongo wa mawazo na kukimbilia kula ARVs (Baadhi ya watu hujiua), sasa hapo ndipo unaanza kudevelop dalili za ugonjwa wa ukimwi, yaan unapata ukimwi by medical prescription na stress tu.
Nije kwenye swali lako la 3, kwa mtazamo wangu sidhani kama waafrika tunahitaji ARVs ili kupambana na UKIMWI. Hivyo kila mtu anatakiwa ku play part yake. Sisi kama waafrika na watanzania tunapaswa kubadili mitindo ya maisha (Mfano: Huwezi kunywa pombe kila siku huku ukiwa unakula diet mbovu na kufanya ngono mara 50 kwa wiki ukabaki salama).
Hapa ni pagumu sana, na ndiyo maana nowdays watanzania wengi tunaugua visukari, figo zinafeli, upungufu wa nguvu za kiume na magonjwa ya ajabu ajabu, bad lifestyle inatuangamiza.
Kwa upande wa tume ya kudhibiti ukimwi (TACAIDS) ijikite kwenye kuelimisha watu kupitia television na radio. Maisha ambayo tunaishi ni hatarishi kuliko kuwa na michepuko (Simaanishi uwe na michepuko). TACAIDS wajikite kuwaelimisha watu wale vizuri na kufanya mazoezi.
Kwa upande wa serikali kama serikali, iongeze nguvu kwa taasisi kama TFDA kuwa na uwezo wa kudhibiti madawa na vyakula feki kabla havijaangia sokoni. Ni mara ngapi TFDA imekamata madawa na vyakula feki? Na je ni madawa na vyakula feki kiasi gani vimeingia sokoni na kuaathiri mamilioni ya watanzania?
Nikija kwenye swali lako la mwisho, hakuna kitu kama hicho, kutokana na hizo facts za kisayansi UKIMWI hausababishwi na kirusi na wala hauambukizwi (It is not both a viral epidermiology and infectious disease).
Kwahiyo hakuna kitu kinachoitwa kirusi cha UKIMWI. So swali lako litakuwa halina tija hapa.
Mwisho, watanzania tukiwemo mimi na wewe tunapaswa kujua mitindo ya maisha ambayo tunaishi, vyakula ambavyo tunakula, madawa ya hospitali ambayo tunatumia, malaria, tb na mazingira yanayotuzunguka ni vitu hatarishi kwa asilimia 100% kuliko hata kirusi cha HIV.
Duh..we mtu umezama kwenye hili..Hongera,.sasa nimepata pakuanzia..
Wazaz wangu ni waathirika Baba ameanza kutumia ARV's mama Bado,.naomba unishauri nipate chakuwashauri coz napenda kuwaona wakiwa naafya njema kilasiku..
Jibu naomba liegemee kwenye namna yakuachana nahizo dawa bila athari..