myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
nimesoma! ila nasikia usingizi.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF inaweza kuwa sehemu ya hatari kwa watu wasio na mazoea ya kujisomea na kutafuta taarifa za uhakika.
Mkuu, kutokana na maelezo yako, huo ukimwi husababishwa na nini?
Na kwa nini hao tunaodhani wanaHIV CD4 zao hushuka endapo T- helper cell hazifi kuliko kawaida?
Mi nakubalina na wewe kuwa ukimwi husababishwa na vitu vingi, lakini maelezo yako kuhusu visababishi vya UKIMWI hayaeleweki.
Nimekusoma mkuu, hitmisho ni kwamba HIV sio sababu ya UKIMWI isipokuwa UKIMWI katika nchi za viwanda husababishwa na matumizi ya dawa za kulevyazinazotumiwa na watu kama sehemu ya starehe, miongoni mwa madawa hayo ni; HEROIN, COCAINE, POPPERS, BARBITUATES, SPEED, PCP na LSD, ila kwa nchi zinazoendelea ikiwemo nchi zilizopo bara la afrikka sababu ya UKIMWI ni; utapiamlo, ukosefu wa maji safi na salama, matumizi yaliyokithiri ya antibiotics, maambukizi ya magonjwa yanayojirudia kama malaria na tb, stress na mitindo mibovu ya maisha.
Hivyo ndivyo vinavyosababisha ku break down kwa mfumo wa kinga wa binadamu.
Sorry!!!hapa unafurahisha genge au uko serious????NO!! Hiyo nadharia itapotosha wengi,muhimu jua UKIMWI UPO NA UNAUWA!!!!!!
Mwisho wa siku nimekuja kugundua kwamba,hii controversy haina tofauti sana na elimu ya dini..ila kitu ambacho wenye dini wote wanakubaliana ni kwamba Mungu yupo,au something like that..
Na hapa ni mwanzo tu..bado kuna mengi yatasemwa..lakini at least kwa sasa wote tunakubaliana kuwa UKIMWI upo na HIV ipo..
Na kingingine tukubaliane pia kwamba hizi nadharia zote zinazokinzana zimetoka kwa wazungu..kwa maslahi ya nani,sina jibu..
Sorry!!!hapa unafurahisha genge au uko serious????NO!! Hiyo nadharia itapotosha wengi,muhimu jua UKIMWI UPO NA UNAUWA!!!!!!
Mkuu Poverty eliminator na Mkuu Deception nisaidieni hapa, Je? Kila Mwanadamu anae HIV mwilini?
Mwisho wa siku nimekuja kugundua kwamba,hii controversy haina tofauti sana na elimu ya dini..ila kitu ambacho wenye dini wote wanakubaliana ni kwamba Mungu yupo,au something like that..
Na hapa ni mwanzo tu..bado kuna mengi yatasemwa..lakini at least kwa sasa wote tunakubaliana kuwa UKIMWI upo na HIV ipo..
Na kingingine tukubaliane pia kwamba hizi nadharia zote zinazokinzana zimetoka kwa wazungu..kwa maslahi ya nani,sina jibu..
Tatizo kubwa niloona hapa ni kuwachanganya wagonjwa..maana habari kama hii sijui watu wengi wanaoishi na VVU wataipokeaje..
Lakini hii yote ni matokeo ya kukua kwa elimu sayansi na humo humo wanatokea wajasiriamali wanatumia fursa hizo kutengeneza pesa.
Baada ya monopoly ya miaka mingi ya hii inayoitwa tiba rasmi watu wamekuwa wakiitegemea sana..na tafiti nyingi zilijikita ktk kuipanua taluma hii..tumekuwa tukielimishwa sana juu ya afya zetu na usalama wa maisha yetu..Sasa miaka ya hivi karibuni imeibuka taaluma nyingine inayoitwa tiba mbadala..hapa ndipo tatizo lilipojitokeza..kimsingi hii tiba ilikuwepo hata kabla ya hii inayoitwa rasmi..tatizo ni kwamba hii inayoitwa rasmi,kwa miaka mingi imekuwa ikipata support kutoka serikali na mashirika mengi duniani,na hivyo ikajikuta imepiga hatua kubwa.
Sasa hawa jamaa wa tiba mbadala nao wameamua kurudi tena barabarani kujibu mapigo..sasa hapa ndipo controversy inapotokea..mgongano wa two schools of thought..Kwanza hawa jamaa wao wadai wana tiba ya magonjwa yaliyoshindikana kwa tiba rasmi..ndo hapo tunasikia siku hizi kwamba kansa inapona,kisukari kinapona,presha inapona..hadi leo tunaambiwa HIV/AIDS ni nadharia feki..nk..nk..nk..
Hawa jamaa walichofanya kwanza, ni kutangaza kuwa magonjwa yote yanayotutisha si kweli bali ni conspiracy! Baada ya hapo wanatangaza kuwa na tiba mbadala ya magonjwa hayo.Na hawa jamaa wamejitahidi sana kiasi cha kufanya hata dini zimesurrender kwao..maana tofauti na tiba za dini zinazolenga zaidi watu wasio na elimu sana,hawa jamaa wamepata ufuasi wa wasomi pia..na hata hii nadharia tunayojadili hapa mi naamini imetokea huko huko..
Kimsingi taluma zote hizi ni nzuri,maana zote ni kwa ajili ya afya zetu..tatizo ni pale zinapokinzana na kutuweka watumiaji wake njia panda..watu wanafika mahali wanashindwa kujua nani ni mkweli,maana wote wanatibu na watu wanapona,tunawaona..
How? be open mkuu, we are here to learn, hatuko hapa kutafuta mchawi, funguka tu.
baadhi ya watu ni wapotoshaji humu JF taarifa unazozipata humu ni vyema ukazihakiki kwa kusoma majarida na vitabu usije ukajifunza ujinga
poverty eliminator inaelekea unapenda ligi za ubishi na ndio kusudio la kuanzisha uzi huu, tafadhali kama acha utani na suala hili kila mmoja hapa ni muathirika wa janga hili kwa namna moja au nyingine. Elimu yako haina msaada wowoteHuwezi kuamini kwasababu umezaliwa umeukuta ukimwi na tangu ukiwa darasa la kwanza mpaka secondary umefundishwa kwamba ukimwi husababishwa na kirusi cha HIV. Kwahiyo ni vigumu kuamini kitu ambacho umekalilishwa kwa zaidi ya miaka 20 uje kuwaambiwa hakina ukweli.
Unaposema hii ni dharia itapotosha, una maana gani? kupotoshwa tupotoshwe mara ngapi? tayari wewe ushapotoshwa hapo ulipo.
Ukimwi upo kweli ndiyo na unaua ila HIV sio sababu.
poverty eliminator inaelekea unapenda ligi za ubishi na ndio kusudio la kuanzisha uzi huu, tafadhali kama acha utani na suala hili kila mmoja hapa ni muathirika wa janga hili kwa namna moja au nyingine. Elimu yako haina msaada wowote
Jifunze kusoma,kudadisi na kufikiri.Fungua akili yako ndio utaona yaliyojificha,usiongee tu kwa sababu una uhuru wa kuongea.Je,una uthibitisho wowote kwamba elimu inayotolewa hapa haina masaada?
Watu tumeshathibitisha haya mambo kwa kutumia miili yetu wenyewe,kama unaona haina msaada kaa pembeni acha watu wenye akili ya kudadisi wajifunze.Hizi ndizo sababu zinazofanya ngozi nyeusi ziendelee kutawaliwa na wakoloni hadi leo.Mtanisamehe kwa kuzungumza kwa hasira.
Unajua kama mtu una uhakika na jambo fulani,halafu unaliona ni muhimu na wengine wakalijua halafu watu wanatoka huko wanakotoka kuja kupinga bila sababu za msingi mimi huwa napata hasira sana.Nimeshapoteza ndugu zangu wengi kabla sijafahamu ukweli huu,sasa najua ukweli huu na nimeshaokoa wengi,sasa watu wanakurupuka na kuongea hovyo tu bila kuthibitisha kwamba haya mambo ni uongo.
Kama kuna mtu yeyote anayejiamini kwamba anajua na ana uthibitisho aje hapa tuone nani ni mkweli.Tutapambanisha evidence kwa evidence za kisayansi kuanzia kwenye Historia ya HIV/AIDS,Hypothesis yake,Vipimo vyake na madawa yake(ARVs).Kama yupo mtu kama huyo aje hapa.Sio mnakurupuka na kuja kuwaharibia watu mood hapa.Kama wewe unaona hapakufai kaa kimya watu wenye akili zao waendelee,hatuhitaji BRAIN WASHED people hapa,tunataka watu wanaojitambua na wenye nia ya kujifunza mambo mapya.
Haya njooni sasa,evidence kwa evidence kama kweli mnajua.
baadhi ya watu ni wapotoshaji humu JF taarifa unazozipata humu ni vyema ukazihakiki kwa kusoma majarida na vitabu usije ukajifunza ujinga
poverty eliminator inaelekea unapenda ligi za ubishi na ndio kusudio la kuanzisha uzi huu, tafadhali kama acha utani na suala hili kila mmoja hapa ni muathirika wa janga hili kwa namna moja au nyingine. Elimu yako haina msaada wowote
...hii controversy haina tofauti sana na elimu ya dini.....
..kwa sasa wote tunakubaliana kuwa UKIMWI upo na HIV ipo....