Mambo 10 ya kisayansi yanayothibitisha kuwa VVU sio chanzo UKIMWI

Mambo 10 ya kisayansi yanayothibitisha kuwa VVU sio chanzo UKIMWI

Mkuu kumwelimisha mtu mweusi ni vigumu ndo maana ukirefaa speech ya rais pita both utaamin alichosema kwa mwafrika.
 
Kwann watoto wanaozaliwa na wamama wenye HIV+ FAKE kama haikuchukuliwa tahadhari wakat wakujfungua nao huwa HIV+FAKE?..na hupatwa na miongoni mwa magonjwa 29 uliyo yainisha katika kipindi cha ndani ya miaka20 hatakama mamayake hakuonyesha dalili za ukimwi?..

Nadhani kama umefatilia baadhi ya reply zangu, nimesema kwamba kwanza HIV inakuwa transmitted kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto hili unabidi ufahamu (Perinatal Transmission).

Pili kama mtoto amezaliwa na mama mwenye HIV bila kuchukuliwa tahadhari kama unavyosema, bado tunarudi kule kule, kipi ambacho kinathibitisha huyu mama mwenye mtoto na mtoto mwenyewe kwamba wana virusi vya HIV ndani ya miili yao?

Kinachothibitisha hilo ni Hivyo vifaa ambavyo havina Gold Standard.
Kwa kukusaidia tu ni kwamba, watoto ambao inasemekana wanazaliwa na HIV wengi wanakufa kwasababu ya wrong treatment ambayo inaambaatana na dawa za sumu kama ARVS na sio ukimwi wenyewe bali ni ukimwi by prescription.
 
wanaobisha wengine hata hawajui tofauti kati ya hiv na ukimwi.ila binafsi nashukuru sana nimepata kitu kwakupitia hapa.

Ni kweli Mkuu Ugolo, unajua tatizo unabishana na mtu ambaye hajui historia ya huu ugonjwa, sio msomaji wa vitu, sio mdadisi na wala sio mfatiliaji wa mambo kwenye huu ulimwengu na ndiyo maana waafrika wengi, hususani watanzania wanaamini huu ugonjwa umeletwa na mungu kama adhabu ya kumwangamiza binadamu, wengine wanasema umetoka kwa nyani sijui.

Kwahiyo the truth is hidden from the public. Kwa mwafrika ambaye anaijua historia ya huu ugonjwa vizuri hawezi kupata shida hata kidogo. Na ndiyo maana kuna waafrika ambao ni Professors na medical experts kutoka afrika ya magharibi wapo kwenye hii movement ya REAPPRAISAL OF HIV/AIDS HYPOTHESIS ambayo ilianzishwa na kina Dr.Peter Duesberg na Dr.Charles Thomas. Pitia hii link hapa uone hii list ya scientist na medical experts kutoka pembe zote za dunia wakihoji hii kitu;
Is 'HIV' Really the Cause of AIDS? Are there really only 'a few' scientists who doubt this?
 
Nadhani mkuu Deception na wachangiaji wengine wamejitahidi kutoa link tofauti za website ambazo zina articles na documentaries tofauti. Sasa kwa wale ambao mnaopenda kusoma vitabu, tafuteni baadhi ya vitabu hivi ili mpate knowledge zaidi;

Jina la kitabu: 'Inventing the AIDS Virus'
Mwandishi: Peter H. Duesberg
Publisher: Regnery USA .

Jina la kitabu: 'Deadly Deception'
Mwandishi: Robert E. Willner
Publisher: Peltec Publishing Co. USA.


Jina la kitabu: 'AIDS; The HIV myth'
Mwandishi: Jad Adams
Publisher: Macmillan London UK, St. Martin's Press New York USA

Jina la kitabu: 'Get All The Facts: HIV does not cause AIDS'
Mwandishi: Mohammed Ali Al-Bayati
Publisher: Toxi-Health International, Dixon CA.

Jina la kitabu: 'Infectious AIDS: Have We Been Misled?'
Mwandishi: Peter H. Duesberg
Publisher: North Atlantic Books USA



Jina la kitabu: 'AIDS Inc.; Scandal of the century'
Mwandishi: Jon Rappoport
Publisher: Human Energy Press, USA

Jina la kitabu: 'AIDS; The Failure of Contemporary Science'
Mwandishi: Neville Hodgkinson
Publisher: Fourth Estate, London UK.


Jina la kitabu: 'The AIDS War; Propaganda, profiteering and genocide from the medical-industrial complex'
Mwandishi: John Lauritsen
Publisher: Asklepious Press USA

Jina la kitabu: 'Poison by Prescription; The AZT story'
Mwandishi: John Lauritsen
Publisher: Asklepious Press USA

Kumbuka:
Jipe muda kusoma. Soma kwa utulivu maana kuna vitabu vina kurasa mpaka 500 hapo. Kwahiyo kama umezoea kusoma vitabu vyenye kurasa 10 au 20, Unaweza ukakiweka kitabu kwenye shelf then ukawa umeprove right kwamba ukitaka kumficha mwafrika muwekee jumbe kwenye vitabu.
 
Kwa nilivyo kuelewa mleta mada,.HIV ipo na ukimwi pia upo..

Ukimwi kweli upo.HIV kama jina tu yupo,lakini kiuhalisia hakuna HIV.Kama kiuhalisia angekuwapo retrovirus ambaye ana uwezo wa kushusha kinga hapo ndio jina la HIV lingeleta maana,lakini kwa kuwa hakuna retrovirus yeyote mwenye uwezo wa kusababisha ukimwi hivyo hakuna HIV,yaani hakuna Human Immunodeficiency Virus.Nadhani umenielewa.

..japo sio wote wenye HIV wana ukimwi..

Ni kweli.Na hii ni kwasababu hakuna HIV kiuhalisia.HIV yupo kama jina tu baada ya watu wawili kukubaliana.

..ila wenye ukimwi wote wakipimwa wanakutwa na HIV+ fake kutokana na vipimo vsivyo standard vinavyopina antibodies na si kirusi..

Si kweli kwamba wenye ukimwi wote ukiwapima utawakuta na HIV+ hata kama vipimo ni feki,wapo wengi wana ukimwi lakini ni HIV- pamoja na kwamba vipimo ni feki.

..pia kinachoua si kirusi bali ni ukimwi..kama nimekuelewa nipe pata

Ni kweli kwamba HIV haui.Pia hata ukimwi hauui,bali kinachoua ni ugonjwa unaoingia mwilini baada ya mtu kuwa na upungufu wa kinga(ukimwi).Ukimwi peke yake hauui mpaka ugonjwa fulani uingie mwilini baada ya mtu kuwa na ukimwi,hili ni suala la msingi sana kulijua ambalo watu huwa wanajichanganya sana.

Cha msingi ni watu kujua kama ukimwi hausababishwi na HIV,je,unasababishwa na nini hasa?Na swali hili limeshajibiwa kwa kirefu sana na mleta mada kwa kutoa link mbalimbali,hivyo ni jukumu la kila mmoja kuanza kufuatilia kwa makini alichozungumzia mleta mada.
 
Deception,
Nimdawangu sasa kuchimba kwenye vitabu nijiridhishe na nilichoelewa..ubarikiwe kiongoz kwa elimu yabure hii uitoayo..
 
kwahiyo nikijigundua nina UKIMWI/AIDS nichukue hatua gani? kwa sababu katika vituo vya afya utashauriwa utumie ARVs, sasa mbali na kutumia ARVs nifanye nini nikigundua nina AIDS?
 
kwahiyo nikijigundua nina UKIMWI/AIDS nichukue hatua gani? kwa sababu katika vituo vya afya utashauriwa utumie ARVs, sasa mbali na kutumia ARVs nifanye nini nikigundua nina AIDS?

Mkuu kwanza unapaswa ujue chanzo cha tatizo kabla ya kutatua tatizo. Unapaswa kujua ni kitu gani kinasabisha kinga yako kushuka kwenye mwili. Nimetaja sababu nyingi kwenye baadhi ya reply zangu.
Diet na kufuata mitindo iliyo bora ya maisha ndiyo tiba pekee dhidi ya upungufu wa kinga kwenye mwili.
"IF AFRICANS DIE FOR AIDS EPIDEMIC. WHERE THEY ARE GRAVES?"
 
na AIDS inaambukizwa kwa njia gani?

AIDS is not both epidemiology and infectious disease. Kushuka kwa kinga ya mwili hakuambukizwi mkuu. Kama kinga ya mwili itashuka , itaanzia kwenye mwili wako na kuishia kwenye mwili wako. Huwezi kumuambukiza mtu ukimwi. Thanks God to that coz laiti kama ukimwi ungekuwa unaambukizwa Tanzania ingejaa makaburi.
 
AIDS is not both epidemiology and infectious disease. Kushuka kwa kinga ya mwili hakuambukizwi mkuu. Kama kinga ya mwili itashuka , itaanzia kwenye mwili wako na kuishia kwenye mwili wako. Huwezi kumuambukiza mtu ukimwi. Thanks God to that coz laiti kama ukimwi ungekuwa unaambukizwa Tanzania ingejaa makaburi.

Nikumbushe jina la yule Dr aliekiri kwenye house if numbers kuwa we can get rid of HIV kama tukibadili mfumo wa maisha na kuinua kinga zetu hasa sub saharan African.
 
Mku embu utusaidie kwa hili.a.kusini rais wao alipiga marufuku ambaye ni t.mbeki.je huyu wa sasa karuhusu?

Sina uhakika na hilo kama Zuma ameruhusu au hajaruhusu but kila president ana upeo wake wa kuona mambo na pia ana interest zake. But Thabo Mbeki aligundua hila za political economic power of the AIDS industry. Na nadhani hii iilikuwa ni moja ya fitina zilizotumika kuhakikisha wanamtoa kwenye kile kiti cha uraisi.
 
Nikumbushe jina la yule Dr aliekiri kwenye house if numbers kuwa we can get rid of HIV kama tukibadili mfumo wa maisha na kuinua kinga zetu hasa sub saharan African.

Anaitwa LUC MONTAGNIER, huyu ni mmoja wa co-founder wa HIV. Na yeye ndiye mtu kwanza kusema amegundua kirusi kinachosababisha ukimwi. Kirusi chake kilikuwa kikiitwa LAV.
 
katika kuomba kujuzwa: mbona kuna mtua ambaye mimi namfahamu aliambukizwa AIDS hakutumia ARVs lakini alikufa?
Mkuu ukimwi haumbukizwi kwa sababu si ugonjwa ambao unasababishwa na kirusi kama inavyoaminika na walio wengi. Watanzania tunasumbuliwa na maladies (Malaria na TB), matumizi yaliyopitiliza ya antibiotics, lishe mbovu na matatizo mengi tu.

Kinga yako ya mwili haiwezi kubaki salama kama unaugua maralia mara 4 kwa mwaka. Tuna maambukizi ya magonjwa yanayojirudia rudia sana, ila huwa tuna take easy tu. So huyo jamaa kama kafa kwa ukimwi sababu ni hizo. Na kibaya zaidi kinachowaua walio wengi ni stress tu kuliko hata ukimwi wenyewe.

Hata wewe hapo now ukiambiwa uko positive tutakupoteza kwa stress tu.
 
Back
Top Bottom