Mambo 10 ya kisayansi yanayothibitisha kuwa VVU sio chanzo UKIMWI

Mambo 10 ya kisayansi yanayothibitisha kuwa VVU sio chanzo UKIMWI

nimefuatilia kwa karibu mjadala huu lkn bado kuna kitu kinanitatiza.....kama hivyo vipimo vya HIV ni feki ni kwanini basi wengine wakipimwa wanaonekana HIV- na wengine wanakuwa HIV+ kama ni feki kwanini majibu mengi yasingekuwa HIV+ ...nimesema hivi kwakuwa mm mwenyewe nafanya kazi maabara kati ya watu 20 ninaoweza kuwapima kwa kutumia alere ni 1au 3 wanaweza kukutwa HIV+....sibishani na nyie isipokuwa nataka kuelewa ni kwanini wengine wanakuwa positive na wengine negative
 
Ebu nipeni jibu ARVs zilipoigwa marufuku South Africa enzi za Thabo Mbeki Vip ukimwi ulipungua South Africa?

Kwa kutumia hypothesis ya HIV/AIDS, kuna mtu anaitwa Pride Chigwedere, huyu ni Physian Scientist mwenye asili ya zimbabwe ambaye alikuwa ni mmoja kati ya watu ambao waliiongoza kundi la researchers kutoka HARVAD ambao walionyesha kwamba sera za ukimwi za Rais wa South Africa (kwa wakati huo), Hon. Thabo Mbeki zilipelekea vifo vya watu zaidi ya 330, 000. Kwa kumnukuu alisema;
" Estimated 330, 000 died unnecessary from AIDS caused by HIV during the period from 2000 to 2005, because a feasible and timely antiretroviral drug treatment program was not implemented in South Africa"

Kwa lugha ya nyumbani ni kwamba "Inakadiriwa kiasi cha watu 330, 000 wamekufa kutokana na vifo ambavyo havikuwa vya lazima kwa kipindi cha kati ya mwaka 2000 mpaka 2005, kwasababu ya kushindwa kutekeleza kwa wakati mwafaka program ya matibabu ya ARVS"

Kwahiyo according to Mr.Pride Chigwedere yeye binasfi aliwalaumu wote waliohoji nadharia ya HIV/AIDS kwa kushindwa kuruhusu kutumia ARVS kuokoa maisha ya watu, na yote kwa yote hapa alikuwa akimlenga Raisi wa South Africa kwa wakati huo, Hon.Thabo Mbeki na opponents wengineo kama wakina Dr.Peter Duesberg.
Na kuongezea yeye na wenzake walishauri kwamba takribani ya watoto 30, 000 wanaozaliwa wanaweza kuokolewa maisha yao kila mwaka kwa kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kwa kuwatibu wajawazito kwa kutumia dawa za kupunguza makali ya ukimwi.

Sasa nikija kwenye swali lako. Accoding to HIV/AIDS opponents ; Dr.Peter H. Duesberg, Joshua M. Nicholson , David Rasnick, Christian Fiala na Henry H. Bauer ;

Ni kwamba Hakuna ushahidi wa kuwepo kwa idadi kubwa ya vifo mingoni mwa wa south Africa ambao wako positive.
Kwahiyo hiyo study ya Mr.Kigwedere na washirika wake iliwashangaza opponents wa HIV/AIDS mara baada ya takwimu za south Africa kuripoti kwamba ni kifo cha mtu mmoja tu hutokea kwa mwaka miongoni mwa wa south Africa 1000 ambao wako positive.

Kiwango cha population cha watu wa south afrika kutoka mwaka 2000 mpaka 2005 Kwa makadirio kilikuwa ni watu miliooni 45.Kiasi cha population ambacho kilikuwa HIV+ kilikuja kupatikana kwa kutafuta asilimia ya watu wenye HIV kutoka kwenye jumla ya population nzima. Kwa melezo zaidi tembelea hii link, upate statistics zaidi;
http://www.duesberg.com/2009_Duesberg_et_al_Medical_Hypotheses.pdf
 
ningependa kufahamu pia mwanzoni nimesoma kuwa kinachopimwa ili kuutambua UKIMWI ni uwepo wa antibodies zinazotolewa na mwili ili kujikinga na VVU kwa hyo mtu anayekuwa positive hayuko hatarini, sasa hivyo vipimo vya ukimwi huwa vinaangalia uwepo wa kitu gani ili kuthibitisha, manake nimeona tena kwa huyo mtaalam wa maabara anasema huwa anawakuta anaowapima wakiwa na VVU, ni kipi huwa kinapimwa?
 
nimefuatilia kwa karibu mjadala huu lkn bado kuna kitu kinanitatiza.....kama hivyo vipimo vya HIV ni feki ni kwanini basi wengine wakipimwa wanaonekana HIV- na wengine wanakuwa HIV+ kama ni feki kwanini majibu mengi yasingekuwa HIV+ ...nimesema hivi kwakuwa mm mwenyewe nafanya kazi maabara kati ya watu 20 ninaoweza kuwapima kwa kutumia alere ni 1au 3 wanaweza kukutwa HIV+....sibishani na nyie isipokuwa nataka kuelewa ni kwanini wengine wanakuwa positive na wengine negative


Thanks! Mkuu , Kwanza ni vizuri wewe ni mtu wa maabara najua unafahamu vitu vingi kuhusu vipimo. Lakini watu walio wengi hawafahamu kuhusu hivi vipimo. Vipimo ambavyo vinatumika frequently kupima HIV ni Elisa (Screening Test), Western Blot (Confirmatory Test) na PCR (Polymerase Chain Reaction) kwa jina lingine (Viral Load Test).
Vipimo vya Elisa na Western Blot vinachofanya ni ku detect antibodies against HIV. Kwa upande wa PCR (Polymerase Chain Reaction) au Viral Load Test hiki ni genetic test, ambacho kina detect nakala ya vipade vya RNA ambavyo vinatazamiwa kama nucleic acid za HIV.
Hakuna kipimo hata kimoja kati ya hivyo ambavyo vinadetect uwepo wa HIV virus moja kwa moja.

Tukizungumzia Elisa na Western Blot vyote havina garantii kwamba mtu kweli ameambukizwa HIV.
Vipimo hivi vya Elisa na Western Blot ambavyo vina detect Antibody vingekuwa na maana pale tu vingekuwa standardised. Hii ina maana kwamba vinapotoa results, vinapaswa kutoa results zenye maana sawa au zinazofanana kwa wagonjwa wote, maabara zote na nchi zote. Lakini hiyo ni tofauti, kwa maana vinatoa majibu tofauti kwa watu tofauti, vinatoa maana tofauti kwa maabara tofauti na kwa nchi tofauti.

Yaani kwa lugha rahisi viko interpreted tofauti kwenye nchi tofauti, hii ina maana kwamba mtu ambaye yuko positive afrika anaweza kukutwa negative anapopima akiwa Australia au marekani.
Na tatizo lingine same sample blood inapokuwa tested kwenye maabara tofauti labda 10 majibu yanayopatikana pia ni 10.

Sasa wanasayansi wanasema njia pekee ambayo ni valid kwa ajili ya kupima kiwango na ubora wa vipimo katika clinical medicine ni kulinganisha Gold Standard za vipimo husika. (Which one is the best ). Na ili kujua Gold Standard ya vipimo vya UKIMWI , target ilitakiwa kuwa ni kupima kirusi chenyewe cha HIV na si antibody ambayo ime react na hicho kirusi.

Na ni ukweli ulio wazi kuwa kirusi cha HIV hakijawa isolated kama independent free viral entity. Kwasababu hiyo basi ni ngumu sana kuelezea specificity ya vipimo vya HIV.

Kwahiyo kwasasa specificity ya vipimo vya HIV hailezewi kwa kufanya comparison na kirusi cha HIV ambacho kimekuwa purified isipokuwa inaelezewa kwa kufanya comparison kwa kuhoji clinical fact tu za ugonjwa wa ukimwi au T-CELL Counts.
Nikirudi kwenye swali lako; kama hivyo vipimo vya HIV ni feki ni kwanini basi wengine wakipimwa wanaonekana HIV- na wengine wanakuwa HIV+ kama ni feki kwanini majibu mengi yasingekuwa HIV+?.

Jibu ni kwamba kuwa positive au kuwa negative, kunategemea na condition nyingi sana. Kumbuka msingi wa kuwa positive kwa vipimo vya HIV ni kuonekana kwa antibody ambayo ime react na kirusi kwenye mwili wa mtu. Kuna sababu nyingi kama nilivyosema ambazo zinasababisha mtu kureact positive, refer to (Johnson 1993, 1995, 1996a,b; Hodgkinson 1996; Turner 1996, 1997/8; Shenton 1998; Papadopulos-Eleopulos et al 1993; Giraldo 1997d, 2000a; Giraldo et al 1999).
Hizi ni sababu mojawapo za mtu kureact positive au kutoreact positive;

Ujauzito , Kuwa na maambukizi ya kipindi cha nyuma au yaliyopo ya bacteria, virusi na parasite ambao husababisha magonjwa kama malaria, tb , ukoma, mafua na magonjwa ya ngono na sababu nyinginezo nyingi.
Pitia hiyo link ili ujiongeze zaidi
The Perth Group HIV-AIDS Debate Website
 
ningependa kufahamu pia mwanzoni nimesoma kuwa kinachopimwa ili kuutambua UKIMWI ni uwepo wa antibodies zinazotolewa na mwili ili kujikinga na VVU kwa hyo mtu anayekuwa positive hayuko hatarini, sasa hivyo vipimo vya ukimwi huwa vinaangalia uwepo wa kitu gani ili kuthibitisha, manake nimeona tena kwa huyo mtaalam wa maabara anasema huwa anawakuta anaowapima wakiwa na VVU, ni kipi huwa kinapimwa?

Mkuu kinachopimwa sio ukimwi, kinachopimwa ni kirusi cha HIV (Ingawa vipimo havipimi kirusi exaclyt). Hivi vipimo uthibitisho wake ni kuonekana kwa antibody kwenye mwili. Na defendants wa HIV/AIDS wanasema hiyo antibody ikashaonekana haina kazi bali ni indicator ya wewe kuugua magonjwa zaidi ya 20 siku za usoni.

Hiki kitu kinawashangaza scientist wengi sana, imekuwaje ukweli huu wa kuonekana kwa antibody kwenye mwili kupinduliwa juu chini.
 
ningependa kufahamu pia mwanzoni nimesoma kuwa kinachopimwa ili kuutambua UKIMWI ni uwepo wa antibodies zinazotolewa na mwili ili kujikinga na VVU kwa hyo mtu anayekuwa positive hayuko hatarini, sasa hivyo vipimo vya ukimwi huwa vinaangalia uwepo wa kitu gani ili kuthibitisha, manake nimeona tena kwa huyo mtaalam wa maabara anasema huwa anawakuta anaowapima wakiwa na VVU, ni kipi huwa kinapimwa?

nimefuatilia kwa karibu mjadala huu lkn bado kuna kitu kinanitatiza.....kama hivyo vipimo vya HIV ni feki ni kwanini basi wengine wakipimwa wanaonekana HIV- na wengine wanakuwa HIV+ kama ni feki kwanini majibu mengi yasingekuwa HIV+ ...nimesema hivi kwakuwa mm mwenyewe nafanya kazi maabara kati ya watu 20 ninaoweza kuwapima kwa kutumia alere ni 1au 3 wanaweza kukutwa HIV+....sibishani na nyie isipokuwa nataka kuelewa ni kwanini wengine wanakuwa positive na wengine negative

Wakuu,jamaa ameshawaelezea vizuri kabisa,natumaini mtakuwa mmepata jibu.Lakini pia hebu fuatilieni hizo video hapo chini kwa makini mpaka mwisho.Mkimaliza ndio mtajua kwamba HIV/AIDS pamoja na mambo yanayofuatana nayo kama vile vipimo na dawa zake(ARVs) vyote ni MINDSET tu na si vinginevyo.Hapa specifically mtapata jibu kuhusu vipimo feki vya HIV.Lakini pia inabidi mfahamu kwamba hata kama kungekuwa na vipimo sahihi vya huyo HIV,bado vingekuwa NONSENSE kwa kuwa HIV hasababishi AIDS.Sababu kubwa moja inayotufanya sisi tulalamikie hivi vipimo feki ni kwamba kama mtu atasingiziwa kuwa ni HIV+ kwa vipimo hivi atakuwa subjected kwenye matumizi ya ARVs ambazo ndio ukimwi wenyewe,na wengine hufikia uamuzi hata wa kujiua,hii ndio sababu kubwa.

HIV ni feki,na ndio maana ukitaka ugomvi na madaktari wanaotetea hili,waambie wakuletee electronics micrographs za HIV,HAWANA.Au muulize daktari yeyote kama amewahi kumwona HIV kwenye vipimo vyao,HAKUNA.HIV/AIDS ni KASUMBA tu na si vinginevyo.

Video muhimu kuziangalia hizo hapo chini:

https://www.youtube.com/watch?v=Q-iccGpFto8 ...POSITIVELY FALSE

https://www.youtube.com/watch?v=1Ga01hvqOow ....HIV existence on isolation and purification
 
Wakuu,jamaa ameshawaelezea vizuri kabisa,natumaini mtakuwa mmepata jibu.Lakini pia hebu fuatilieni hizo video hapo chini kwa makini mpaka mwisho.Mkimaliza ndio mtajua kwamba HIV/AIDS pamoja na mambo yanayofuatana nayo kama vile vipimo na dawa zake(ARVs) vyote ni MINDSET tu na si vinginevyo.Hapa specifically mtapata jibu kuhusu vipimo feki vya HIV.Lakini pia inabidi mfahamu kwamba hata kama kungekuwa na vipimo sahihi vya huyo HIV,bado vingekuwa NONSENSE kwa kuwa HIV hasababishi AIDS.Sababu kubwa moja inayotufanya sisi tulalamikie hivi vipimo feki ni kwamba kama mtu atasingiziwa kuwa ni HIV+ kwa vipimo hivi atakuwa subjected kwenye matumizi ya ARVs ambazo ndio ukimwi wenyewe,na wengine hufikia uamuzi hata wa kujiua,hii ndio sababu kubwa.

HIV ni feki,na ndio maana ukitaka ugomvi na madaktari wanaotetea hili,waambie wakuletee electronics micrographs za HIV,HAWANA.Au muulize daktari yeyote kama amewahi kumwona HIV kwenye vipimo vyao,HAKUNA.HIV/AIDS ni KASUMBA tu na si vinginevyo.

Video muhimu kuziangalia hizo hapo chini:

https://www.youtube.com/watch?v=Q-iccGpFto8 ...POSITIVELY FALSE

https://www.youtube.com/watch?v=1Ga01hvqOow ....HIV existence on isolation and purification

Mkuu unaweza kujidunga damu ya mtu mwenye HIV+ FAKE?..
 
kuna kitu nimeshindwa kuelewa mku.km HIV haisababishi ukimwi kwanini wahaya wengi walipoteza maisha kwa ukimwi?Nn tatzo
 
Mkuu naomba unisadie kujua kama mtu ameishaanza kutumia ARVs anaweza kuacha
na kuanza kuishi kwa kufauata masharti ya lishe a
kawa salama au akiishaanza kutumia ARV ndo hawezi tena
kuacha na akawa salama?

Ndio,mtu anaweza kuacha ARVs na akawa salama,lakini sikushauri umwambie mtu aache.Hii ni kwa sababu ARVs zimetengezwa ziwe addictive na zinaifanya kinga au mwili utegemee ARVs ili kuishi.ARVs ni sawa na dawa za kulevya kama vile heroin,zikitumiwa kwa muda mrefu huwezi kuziacha ghafla bila kukuletea matatizo.Na ndio maana kuna vituo vya kuwaachisha watu madawa ya kulevya kwa sababu hii,huachi ghafla tu.Ukiacha ghafla heroin baada ya kutumia kwa muda mrefu tunaweza kukuzika,ARVs nazo vivyo hivyo.Fahamu pia ARVs hazikutengenezwa ziwe hivyo kwa bahati mbaya,zimetengenezwa hivyo ili ziendelee kueneza HIV/AIDS myth.Mtu akiacha ghafla baada ya matumizi ya muda mrefu anaweza kupata matatizo makubwa sana na kama hana utaalamu wa kuyatatua basi tunamzika,jambo kama hili likitokea linazidi kuwashawishi watu waamini kwamba kweli HIV anaua,kumbe ARVs ndizo zilizoua kwa kusababisha addiction.

Mimi sikushauri umwambie mtu aache kwa kuwa kuna utaratibu mrefu na unahitaji uelewa na uangalizi mkubwa.Inabidi ujue aina ya matatizo yatakayojitokeza na jinsi ya kuyatatua,ukifahamu hayo basi ni rahisi kumwachisha mtu ARVs na atakuwa safi.Labda nitakachoshauri kwa sasa ni kwa mtumiaji wa ARVs kutumia aina fulani ya vyakula katika maisha yake ya kila siku ili ku balance athari za ARVs,akifanya hivyo pia ataishi muda mrefu kama wengine ambao hawatumii ARVs,lakini inahitaji nidhamu.Ila ARVs zikiingiza sumu nyingi kuliko zinazotolewa na mwili/ini basi itafikia muda mtumiaji ataanza kuonesha dalili za ukimwi orijino ambao umesababishwa na ARVs.Kwa wale waliotumia kwa muda mfupi ni rahisi zaidi kuacha.

Hivyo ndugu cha msingi zaidi ni kukataa kutumia ARVs na badala yake kuishi kwa kula vitu vya asili tu.Kama unaumwa sana basi inabidi ule vyakula maalum vya asili lakini huku ukitibiwa ugonjwa wako maalum ulionao kwanza.Kama unaumwa TB,tibu TB,kama unaumwa Pneumonia,tibu pneumonia,kama unaumwa malaria ,tibu malaria,halafu endelea na utaratibu wa kula vyakula maalum vya asili kwa lengo maalum.Hapo utarudia afya yako njema sawasawa kabisa hata kama ulipimwa HIV+.

Matangazo redioni yanasema "michepuko sio dili,epuka ukimwi".Lakini mimi nasema "HIV sio dili,epuka ARVs".
 
Mkuu unaweza kujidunga damu ya mtu mwenye HIV+ FAKE?..

Ha ha haaa,nilishafanya hivyo kwa siri,niko poa.Kuna watu walishafanya hayo hadharani na bado watu waliona maruweruwe na wakaendelea kung'ang'ania kasumba ileile,yaani HIV/AIDS ni kama imani za kina Kibwetere vile,sijui wafuasi wake wana nini kwenye bongo zao!!!

Ukifanya hadharani kujidunga damu kama hiyo utakachokipata ni hasara ya kuwindwa na CIA tu kama kina Dr.Robert Willner na si vinginevyo.Kujidunga hadharani damu yenye HIV(feki) kwa lengo la kuthibitishia watu sio kitu rahisi kama wengi wanavyofikiri,hapa unahatarisha maisha yako kwa kufuatiliwa na wenye biashara hii ya kinyama.Dr Willner wamemwua kwa sababu hii,sisi tunaojua mfumo huu sio wajinga na si kwamba hatuwezi kufanya haya mambo,bali tunajua mfumo mzima ulivyo corrupt.Hii ni biashara kubwa sana hadi viongozi wako wanashirikishwa humu,hivyo hujui nani atakufuatilia utakapofanya hivyo.

Pia huna haja ya kuona mimi najidunga,mifano ipo mingi mtaani,kuna wanandoa wengi wanaishi pamoja na wamezaa watoto wengi lakini mmoja ni HIV+ wakati wingine ni HIV- na watoto ni HIV-,mifano hiyo ipo mingi sana we fuatilia utaona tu mkuu.
 
Thanks! kk kwa maswali yako. Nikianza na swali lako la kwanza, kama nimekuelewa ni kwamba kuwa na HIV+ kwa wagonjwa wengi wa Ukimwi kunakufanya uamini HIV ndo sababu ya UKIMWI, nadhani niko sawa hapo.

Kumbuka Ushahidi wa hypothesis isemayo HIV ni sababu ya UKIMWI umeegemea juu ya uhusiano (correlation) tu. Sababu virusi wa HIV hupatikana katika wagonjwa wengi wa UKIMWI, hivyo ikadhaniwa huenda HIV husababisha UKIMWI.

Lakini logic ya hii hypothesis ina walakini mkubwa sana kwa sababu uhusiano (correlation) hauwezi kuthibitisha Usababisho (Causation).

Sasa basi kama HIV haina mahusiano na UKIMWI, ni rahisi kupata watu wenye UKIMWI bila kuwa na HIV na watu wenye afya ambao wanaishi na HIV lakini kamwe hawauguwi UKIMWI.
Hakuna siri katika hili, katika bara la Afrika utafiti umeonyesha zaidi ya asilimia 65% ya wagonjwa wa UKIMWI hawana HIV. Huku kwetu Afrika positive results hazina umuhimu kwa ajili ya kuripoti wagonjwa wa UKIMWI; dalili za kuugua muda mrefu zinatosha.

Tuje kwenye swali lako la 2.
Umeuliza ni kwanini ukishiriki tendo na mwenye virusi baada ya muda unakua na dalili zenye kufanana na mwenye ukimwi?

Huo muda ambao unasema kutoka kushiriki tendo na mgonjwa wa ukimwi mpaka kuanza kuugua huwa unaweza kufika hata miaka 20.Sasa kwa kipindi cha miaka 20, unakula diet mbovu, unaugua malaria mara kwa mara, unakula madawa feki, unakula vyakula feki, unafanya ngono mara 60 kwa wiki, je mfumo wako wakinga utabaki vipi salama?????
Pili tuseme imetokea umefanya ngono na mtu mwenye kirusi, miaka 10 bdaye unakuja kuugua ukimwi, hiki kipindi cha kati kuna mambo mengi yanatokea, fikiria kwa kipindi hiki cha miaka imetokea umeenda kucheki afya, baada ya kupimwa ukakutwa upo positive, kinachofuata ni wewe kupanic, kuwa na msongo wa mawazo na kukimbilia kula ARV’s (Baadhi ya watu hujiua), sasa hapo ndipo unaanza kudevelop dalili za ugonjwa wa ukimwi, yaan unapata ukimwi by medical prescription na stress tu.

Nije kwenye swali lako la 3, kwa mtazamo wangu sidhani kama waafrika tunahitaji ARV’s ili kupambana na UKIMWI. Hivyo kila mtu anatakiwa ku play part yake. Sisi kama waafrika na watanzania tunapaswa kubadili mitindo ya maisha (Mfano: Huwezi kunywa pombe kila siku huku ukiwa unakula diet mbovu na kufanya ngono mara 50 kwa wiki ukabaki salama).
Hapa ni pagumu sana, na ndiyo maana nowdays watanzania wengi tunaugua visukari, figo zinafeli, upungufu wa nguvu za kiume na magonjwa ya ajabu ajabu, bad lifestyle inatuangamiza.

Kwa upande wa tume ya kudhibiti ukimwi (TACAIDS) ijikite kwenye kuelimisha watu kupitia television na radio. Maisha ambayo tunaishi ni hatarishi kuliko kuwa na michepuko (Simaanishi uwe na michepuko). TACAIDS wajikite kuwaelimisha watu wale vizuri na kufanya mazoezi.
Kwa upande wa serikali kama serikali, iongeze nguvu kwa taasisi kama TFDA kuwa na uwezo wa kudhibiti madawa na vyakula feki kabla havijaangia sokoni. Ni mara ngapi TFDA imekamata madawa na vyakula feki? Na je ni madawa na vyakula feki kiasi gani vimeingia sokoni na kuaathiri mamilioni ya watanzania?

Nikija kwenye swali lako la mwisho, hakuna kitu kama hicho, kutokana na hizo facts za kisayansi UKIMWI hausababishwi na kirusi na wala hauambukizwi (It is not both a viral epidermiology and infectious disease).
Kwahiyo hakuna kitu kinachoitwa kirusi cha UKIMWI. So swali lako litakuwa halina tija hapa.
Mwisho, watanzania tukiwemo mimi na wewe tunapaswa kujua mitindo ya maisha ambayo tunaishi, vyakula ambavyo tunakula, madawa ya hospitali ambayo tunatumia, malaria, tb na mazingira yanayotuzunguka ni vitu hatarishi kwa asilimia 100% kuliko hata kirusi cha HIV.

Asante kwa elimu nzuri unayotugawia poverty eliminator
 
Mkuu, kutokana na maelezo yako, huo ukimwi husababishwa na nini?
Na kwa nini hao tunaodhani wanaHIV CD4 zao hushuka endapo T- helper cell hazifi kuliko kawaida?
Mi nakubalina na wewe kuwa ukimwi husababishwa na vitu vingi, lakini maelezo yako kuhusu visababishi vya UKIMWI hayaeleweki.
 
kuna kitu nimeshindwa kuelewa mku.km HIV haisababishi ukimwi kwanini wahaya wengi walipoteza maisha kwa ukimwi?Nn tatzo

Thanks! Mkuu kwa swali lako. Kabla sijakujibu ningependa nikupe brief history ya huu ugonjwa kwa hapa Tanzania ili unielewe zaidi.

Kabla ya mwaka 1983, medical professionals wengi hapa Tanzania waliuchukulia UKIMWI kama ugonjwa ambao unatokea amerika na ulaya tu. Lakini mwezi 10 mwaka 1983, baadhi ya madaktari kutoka Hospitali ya bukoba mkoani kagera, walianza kuona wagonjwa wakija hospitali wakiwa wanasubuliwa na tatizo la kuharisha likiambatana na kupungua uzito, homa kali, mwili kudhoofu na dalili nyinginezo.

Dalili zilizokuwa zikijitokeza mingoni mwa hawa wagonjwa zilionekana kufanana na wagonjwa ambao walitambuliwa katika nchi jirani za Rwanda na Zaire. Kwahiyo kipindi kifupi baada hivi viashiria, kesi nyingi kuhusu dalili za ugonjwa huu ziliendelea kuripotiwa. Hivyo basi mwishoni mwa miaka ya 1985 kesi hizi zilikuja kuthibitishwa serogically kwa kutumia vipimo vya Elisa (enzyme- linked immunosorbent assay) na Western Blot .
Kwahiyo kesi za UKIMWI ziliendelea kuripotiwa katika mkoa wa Kagera, na 1986 mikoa yote ya Tanzania bara ililiripotiwa kuwa na ukimwi kwa majibu wa wizara ya afya.

Sasa nije kwenye swali lako la msingi; km HIV haisababishi ukimwi kwanini wahaya wengi walipoteza maisha kwa ukimwi?Nn tatzo
Jibu ni kwamba kwa mujibu wa NATIONAL AIDS CONTROL PROGRAM, kesi nyingi zilizokuwa zinaripotiwa juu ya dalili za kuwepo kwa ugonjwa wa ajabu, zilithibitishwa SEROGICALLY kwa vipimo vya Elisa na Western Blot.
Hii ina maana kwamba uthibitisho wa wahaya wengi ambao walikuwa na dalili za ugonjwa wa ajabu ulifanywa SEROGICALLY , yaani ulifanywa practically kwa kutambua antibody katika serum sio kutambua kirusi.
Kwahiyo njia ambayo ilitumika kuthibitisha kwamba wahaya wanaugua UKIMWI kwasababu ya HIV ilikuwa ni Vipimo vya Elisa na Western Blot ambavyo havina Gold Standard.

Kumbuka kutoka mwaka 1983 pindi kesi za ukimwi zilipoanza kuripotiwa, population ya watu wa Kagera (Wahaya) kamwe haikuacha kuongezeka. Kutoka mwaka 1988 mpaka 2002 population ya watu wa kagera iliongezeka kwa 53%.
Kwahiyo ukuaji wa population ya Kagera ni kiashiaria tosha kwamba lile janga lililokuwa linatarajiwa kuangamiza watu halina uhalisia hapa. Yaani huu ugonjwa sio Epidemic kama unavyozungumzwa na kukuzwa.
Kwahiyo unaposema kwanini wahaya wengi walipoteza maisha, jibu ni kwamba ushahidi upo, watu ambao walifika bukoba miaka ya 1980 wanajua huu ukweli. Kipindi hicho hali ya bukoba ilikuwa mbaya, bidhaa na huduma muhimu zilikuwa hazipatikani, hata kiberiti tu na sabuni ilikuwa ni tatizo, watu walikuwa wananunua bidhaa za magendo kutoka Uganda. Maeneo ya vijijini umaskini ulikuwa umetapakaa, lishe ilikuwa inakosekana, ukosefu wa huduma za afya na matibabu ilikuwa ni tatizo. Kwahiyo idadi ya vifo ilikuwa ipo juu.
Kwahiyo watu walikuwa wanakufa kwa utapiamlo, ukosefu wa maji safi na salama, kusumbuliwa na malaria, mazingira husika wanayoishi ambayo ni duni na magonjwa mengine ya kawaida tu. Kwahiyo tatizo hapa lilikuwa ni kuwaondolea watu umaskini basi.
Kwa kuhitimisha ni kwamba UKIMWI sio Epidemic disease ni Endemic, na kama UKIMWI ungekuwa ni EPIDEMIC AFRIKA NZIMA INGEJAA MAKABURI.
Tembelea hizi link upate maaarifa zaidi;
HIV/AIDS in Tanzania | National Aids Control Program
Tanzania, Kagera Region, epicentre of AIDS 15 years ago
 
Back
Top Bottom