Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika umri wa miaka 28

Joined
Jan 21, 2018
Posts
35
Reaction score
33
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha
2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye
3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji
4. Achana na starehe zisizo na maana
5. Jali sana afya yako
6. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo
7. Anza kununua asset kama vile ardhi, kitanda, vyombo vya nyumbani n.k
8. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza
9. Acha mambo ya kitoto
10. Zingatia sana muda wako



SISI NI TANZANIA MPYA
 
Mapinduzi chanya ...!!!

"What is yours will always be yours no matter what "
 
We kwanza Bado unasoma
😏😏😏😏😏😏

Ungeonja joto la jiwe la mtaa kwa mtaa ungejua why Uncle zako wana above 50 alafu hawaelewekiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…