Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
Mkuu hio namba saba(7) sijaelewa vizuri!! Kama hutojali naomba ufafanuzi wake!!
Kitanda na vyombo vya ndan ni ASSET??
@YoungJigger
Ndiyo ni asset.
Inaonesha wazi kabisa hajui maana ya asset huyo jamaa!!! Chochote kwake yeye atakwambia ni asset mpaka nguo zake nahisi atasema hvyohvyo
Kwahio hata nguo zako ni asset ilimradi tu unaweza kuuza hata kwa mshkaj na kupata fedha?
Nguo ni goods, asset at lest iwe inatumika ndni ya mwaka mmoja...kazi yake ni kusaidia biashara tu iende vizur kwa ufanisiKwahio hata nguo zako ni asset ilimradi tu unaweza kuuza hata kwa mshkaj na kupata fedha?
@YoungJigger
Mkuu tukiongelea asset tunaongelea mali au biashara ambayo itaweza kukupa profit baadae,,, kama ardhi, nyumba ya kupangisha, restaurants etc....Nguo ni goods, asset at lest iwe inatumika ndni ya mwaka mmoja...kazi yake ni kusaidia biashara tu iende vizur kwa ufanisi
Mkuu hio namba saba(7) sijaelewa vizuri!! Kama hutojali naomba ufafanuzi wake!!
Kitanda na vyombo vya ndan ni ASSET??
@YoungJigger
Wewe unazungumzia Aina Moja tu ya asset ambayo ni current asset
Jitahidi kama umepanga manake uwe umepanga wewe sio kila mshikaji akiwa Na demu analeta kwenye chumba chako...Vp hyo ya kupanga na washikaji cjakuelewa vile
Kuna tofauti kati ya asset na liabilities. Kama sikosei labda nimesahauProperty and equipments zote ni assets mzee