Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika umri wa miaka 28

Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika umri wa miaka 28

Kwahio hata nguo zako ni asset ilimradi tu unaweza kuuza hata kwa mshkaj na kupata fedha?

@YoungJigger
Nguo ni goods, asset at lest iwe inatumika ndni ya mwaka mmoja...kazi yake ni kusaidia biashara tu iende vizur kwa ufanisi
 
[emoji119][emoji119][emoji119]
Nguo ni goods, asset at lest iwe inatumika ndni ya mwaka mmoja...kazi yake ni kusaidia biashara tu iende vizur kwa ufanisi
Mkuu tukiongelea asset tunaongelea mali au biashara ambayo itaweza kukupa profit baadae,,, kama ardhi, nyumba ya kupangisha, restaurants etc....



@YoungJigger
 
Ndugu tatizo wengi wanachambua asset kwa kuhusianisha Na nots za darasan Bila kuwa Na uelewa...
Kwanza najuaa lugha hapo ndo inachanganya watu
Asset kwa kizaramo chetu jamani ni MALI.
Naamin nikiuliza swal nin maana ya asset tutapatana majibu mengi yakuchekesha Ila nikiuliza swal nin maana ya MALI naamin tutapata maana zilizoshiba tena nzuri.
Ndo mana nawaza endapo elimu yetu ingekuwa kwa kiswahili naaamini watu wasingemeza kila wanachofundishwa Bali wangeelewa !!!
##########
Examples of assets
- furniture
-stock
-cash
Mkuu hio namba saba(7) sijaelewa vizuri!! Kama hutojali naomba ufafanuzi wake!!

Kitanda na vyombo vya ndan ni ASSET??

@YoungJigger
 
Mkuu Young rich nigga nadhani sipo mbali sana na point yako but Assets ni kitu chochote ulichonacho ambacho kinaweza kutumika kwa ufanisi kukuletea faida, unaposema biashara ni Assets ckuelewi...biashara inaweza ikawa asset pia inaweza isiwe asset...just is a matter of reputation
 
Back
Top Bottom