Mambo 10 yaliyopo Ulaya, hasa hasa Sweden, pengine kwako ni mageni, na ungependa kuyafahamu

Kuongeza hapo,,,,kwa US ukiandikiwa Faini huku inaitwa ticket unaend kulipia mahakamani,, IMENIKUTA JUZI,, ukifika makosa yako yatakua displayed kweny screen kubwa...mm nilizuga kama nasimama kwenye sign ya stop afu sikusimama complete...nkaja home jion kwenye box nje nakuta ticket ,,so ikabdi nkalipe mahakamn pale unaoneshwa ulivyopuuza kusimama
 
Naomba A-Z mpaka ulivyofika huko
 
Kwani hayo yote unapaswa uwe waishi Ulaya hususani Sweden ili kuyajua kama yanafanyika?
 
Nina fanya kazi ya Customs clearing agent hapa dsm,ni mdau kwa mwaka wa 10 sasa japo kwa sasa nimesimama kutokana na kuwa waagizaji na wasafirishaji wamepungua sana siku hizi hasa hasa wakati na baada ya janga la UVIKO 19. Kuna wakati hapo kitambo kama miaka ya 2012 na 2015 kuna jamaa mmoja ni mwarabu wa huko vijijini mbeya kabisa alikuwa mteja wetu anatupa document za kumtolea mizigo yake bandarini ni mizigo yake hasa ilikuwa ni Caterpillar,bulldozer magari makubwa kama dampers,agricultural tractors,rollers na vitu kama hizo alikuwa anavitoa Sweden sasa katika story story nikamuuliza huwa unatumiwa na ndugu zako au unavipata vipi hivi vifaa akanijibu kuwa huwa anakwenda Sweden yeye mwenyewe anakwenda Sweden anatembelea hadi vijijini kabisa huko akasema huko Sweden vijijini unaweza ukakuta damper kwa huko wana regard as kama tayari mbovu na limeisha muda wake lakini unaweza ukalinunua kwa bei chee kabisa na kwa kuwa yeye kakulia familia za kiarabu mambo ya magari magari na ufundi wa gereji anajua jinsi ya kuya handle.So alichokuwa anafanya ananunua hayo ma equipments kwa bei ndogo huko Sweden ya swekeni kabisa anasafirisha yakifika hapa bongo anatengeneza anayauza au mengine anakodisha kwa makampuni ya ujenzi kwa kweli kwa kipindi kile jamaa alini surprise sana kwa sababu ukimuona ni kama mshamba fulani hivi ila jamaa ana exposure ya kipekee kabisa na ndio alifungua akili kuwa kwa ulaya kama unaenda kwa ajili ya biashara ni rahisi sana na nauli sio kubwa kivile na hasa nchi za Scandinavian akasema hata gharama za kulala hotel au hostel ni ndogo sana watu tu huwa wanaogopa.By the way hapa bongo kama wewe ni muagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi na una exposure ya mambo ya ushuru wa forodha kwa upande wako utaweza kufanikiwa maana shida ya bongo abracadabra nyingi Sanaa kuna a lot of shinanigans so kama uko familiar na hizo mbilingembilinge unaweza pitisha bidhaa zako kwa kodi reasonable kabisa pasipo kukwepa kodi na mapato ya serikali wala kupigwa na ma agent au tra officers na faida ukapata vizuri tu.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Waliweka hiyo sheria ili kuvunja hali ya wanaume kununua ngono. Kama wanaume hawanunui biashara inakuwa haipo.
Lakini mji kama Stockholm, kuna wadada wengi wadangaji na wanao jiuza. Hasa usiku ktk club. Ukipita wanakuita kama wadada wa Kinondoni. Wengine wanakaa club, wakiona unaenda msalani wanakufuata huko wakijisemesha. Sweden mademu wengi kuwapata kiurahisi ni club.
Kuna siku boss wa polisi alifumwa kwenye danguro na demu. Jamaa akajitetea alienda kuwachuguza.
Kuna demu yeye anazaa tu na wanaume tofauti akijua anapata fedha za matunzo. Si kwamba wadada wa kiswedish hawapendi wanaume wenye hela. Ilikuwa zamani. Siku hizi wanapenda sana wenye hela wakijuwa wataishi life nzuri. Wanapenda kutolewa outing na shopping.
Wakipenda wanapenda kweli, ila wakivurugwa kuachana ni dakika.
 
Nauli ya basi toka hapa Bongo mpaka huko ni shillingi ngapi mkuu?
 
Waarabu, Wahindi, Wasomali etc siku zote wanatoboa sababu ya exposure na tabia zao. Sisi wamatumbi ujuaji ni mwingi mno alafu tuna mambo mengii🤣🤣
 
Nimepapenda bure
Ahsante kwa taarifa
 
Ahsante kwa ufafanuzi Mkuu. Sasa iweje kuuza mwili kwa mwanamke isiwe kosa, ila kununua ndo iwe kosa? Kama lengo ni kudhibiti kabisa kwanini wasingeweka sheria kuwa kuuaza na kununua vyote ni makosa?
 
Ahsante kwa ufafanuzi Mkuu. Sasa iweje kuuza mwili kwa mwanamke isiwe kosa, ila kununua ndo iwe kosa? Kama lengo ni kudhibiti kabisa kwanini wasingeweka sheria kuwa kuuaza na kununua vyote ni ma

Ahsante kwa ufafanuzi Mkuu. Sasa iweje kuuza mwili kwa mwanamke isiwe kosa, ila kununua ndo iwe kosa? Kama lengo ni kudhibiti kabisa kwanini wasingeweka sheria kuwa kuuaza na kununua vyote ni makosa?
Wanaume wamekuwa waoga kununua bidhaa, hivyo soko la uuzaji linakosekana. Wanajua ukimdhibiti mnunuaji biashara itadoda na kukoswa soko. Lakini pia Sweden ni moja ya nchi ambazo zinatetea sana wanawake. Mwanamke Sweden ana sauti kuliko mwanaume. Ni sawa na sheria zetu kuwa ukimkonyeza mwanamke ni kosa la jinai. Na ukishiriki mapenzi na binti chini ya miaka kumi na nane hata awe amekubali yeye mwenyewe ni kosa la jinai utakuwa umebaka. Na hata ushiriki na student akiwa na miaka 18 akakubali yeye mwenyewe au akakuanza kimapenzi ni kosa la jinai.

Hivyo sheria zipo kumlinda mwanamke au binti wa kike. Na zaidi kumsurubu mwanaume. Then wanataka haki sawa? Hapa hakuna haki sawa ni kutaka kumnyanyasa mwanaume kinamna kwa matumizi ya sheria.
 
Gharama za kulala sehemu kama Ibis na Novotel ni ndogo sana.

Kama ulivyosema, ukiwa na genuine reasons waenda ughaibuni kibiashara na documents zipo safi, una akaunti yako imetuna na watoa statements za uhakika wakihitaji basi huko kwa wenzetu ni poa sana.

Tena wajijengea heshima wengine waweza kukupa ILE hata miaka 5.
 
Shukrani kwa ufafanuzi Mkuu. Kuna kipindi nilihudhuria event moja hivi wakawa wanasema kwa Sweden mtoto/kijana mwenye umri wa miaka chini ya 18 au 15 kama sijakosea siyo kosa la jinai iwapo atashiriki mapenzi na mtu mwenye umri sawa na yeye. Namanisha mfano mtoto kwa kike mwenye 13 years kushiriki mapenzi na mtoto wa kiume mwenye 13 years si kosa. Ila mmojawapo akishiriki mapenzi na mtu mwenye umri mkubwa zaidi yake ndio kosa. Unaifahamu hii kitu Mkuu kwa uzoefu wako?
 
Sweden wana sera nzuri sana ya uwekezaji. Very friendly investment policy.
 
Ndiyo kwa Sweden mtoto akiwa na miaka 15 anaruhusiwa kuanya mapenzi na mtu wa rika lake. Isipokuwa kunasheria inayowalinda wasiwe kwenye mahusiano na mtu mzima. Japo watoto wengi wa shule hasa Sweden wanaanya sana mapenzi na rika lao pia vijana walio kwenye miaka ishirini na kitu.
Kuna wakimbizi wengi toka Middle East. Hawa wamekuwa wanawapitia sana vibinti vya shule. Watoto wengi wameharibika wakiwa shule wanavuta sigara na bangi. Kwao wanaweza wasielewe au wakaelewa lakini mtoto ndo anamaamuzi. Kuna sheria watoto chini ya miaka 18 hawezi nunua sigara au pombe dukani. Lakini wapo wengi sana wananunua kwa kuwatumia vijana wakubwa kwenye miaka 20 na kitu. Kisha uvuta nao na hata kunywa pombe nao. Mida ya jioni yanayoendelea ni aibu. Hawaoni shida kukuta wanasex kwenye Park, shuleni maeneo ya kupumzika na hata kanisani maliwatoni, au ktk lounge.

Watoto wengi hasa hao ma teenager, wanapenda sana kuchill, sigara haziwatoki midomoni, kuna baadhi uacha shule wakipenda kujirusha kwanza na maisha.
 
Sweden wana sera nzuri sana ya uwekezaji. Very friendly investment policy.
Ila kingereza ni lugha rasmi ya kazi lakini kuongea lugha yao wajipa nafasi ya kupata kazi nzuri.

Nilipata nafasi ya kuwa nakwenda hapo kikazi na kampuni moja hivi maarufu.

Ina makao yake makuu Stockholm.

Ila nimefika hadi mji wa Sundsvall.

Wana tractor zao kama Bolinder Manktel na Valtra.

Hizi za Valtra ni modern generation.
 
Uko sawa, influence ya wageni imechangia sana kubadili mtazamo wa vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…