Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

All this is rubbish on the concrete evidence of the existence of God! Labda kama unataka kusema science ndiye Mungu. All these are laws of nature
Mkuu, calling these 'laws of nature' raises a fundamental question: where did these laws originate? Laws imply a lawgiver, and the intricate order and precision we observe in nature point to an intelligent source. Instead of dismissing evidence outright, let's consider the possibility that the existence of these laws themselves is evidence of a higher power orchestrating the universe.
 
He gave freedom so that you can choose either the wrong way or good way ... he can't force anyone into His family...the decision is in your hand
Huoni Mungu ni mjinga/Muovu kwa mantiki hii kwa Nini akuumbe akupe Uhuru wa kuamua unachotaka Lakini akuchome moto kwa kufanya unachotaka?
 
Hayo ni maneno ya kiimani tu yani ni moto wa imani ,wala siwezi kupinga mtu kuamini tena nataka mzidi kuishi kwa imani tu , ila unapokuja kutaka mimi niamini unachokiamini nahitaji uthibitisho ili nisibaki kwenye imani kama wewe , nijue kabisa.
Iman bila matendo imekufa kama tunavyofundshwa anha kumbe basi Mungu anatambua kitu physically kina umuhimu
Ok njoo kwa procedure tulizokupa , physically utashuhudia
Anha hahahaha okay, unataka umbo
Em nijibu hapa huwa unahisi unapulizwa na upepo, sasa naomba unioneshe UMBO LA UPEPO.
 
Usifiriki kuwa hayo maneno ya kiimani siyajui mkuu , Umekuja na madai ya uwepo wa Mungu muweza wa yote , halafu unashindwa kuthibitisha uwepo wake , unabaki kulalama na mahubiri ya kiimani tu yasiyo na uthibitisho wowote.
Wapi Tena nimeandika Mungu muweza wa yote mkuu? Au Tena ndokusema wakati mwingine kusoma Sana Ni kuongeza ujinga. Sorry kwa matamshi makali hahah!

Kuna hatari ya atheists kuwa mnajibu maswali kwa mazoea bila tafakari itatusikitisha Sana.
 
Iman bila matendo imekufa kama tunavyofundshwa anha kumbe basi Mungu anatambua kitu physically kina umuhimu
Ok njoo kwa procedure tulizokupa , physically utashuhudia
Anha hahahaha okay, unataka umbo
Em nijibu hapa huwa unahisi unapulizwa na upepo, sasa naomba unioneshe UMBO LA UPEPO.
Sawà mkuu tena nyie wakristo mada kama hizi mnakuwa vilaza mno sjui kwa nini
 
Wapi Tena nimeandika Mungu muweza wa yote mkuu? Au Tena ndokusema wakati mwingine kusoma Sana Ni kuongeza ujinga. Sorry kwa matamshi makali hahah!

Kuna hatari ya atheists kuwa mnajibu maswali kwa mazoea bila tafakari itatusikitisha Sana.
Wapi nimesema umeandika wewe?
 
He gave freedom so that you can choose either the wrong way or good way ... he can't force anyone into His family...the decision is in your hand
mimi binafsi concept ya free will, siielewi mkuu. tuchukulie mfano pale middle east serikali ya netanyahu inashusha kombola mpaka hospitali na kuua watoto walio icu, hapa free ipo kwa netanyahu peke yake au hadi hawa watoto?
 
Elon musk kuabudu Mungu yupo, Sio uthibitisho wa uwepo wa Mungu.

Hiyo ni imani na mtazamo wake Elon musk tu.

Hakuna Mungu.
Biblia inasema Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa. Huoni maarifa makubwa aliyo nayo Musk? Tena Mithali 22:4. inasema: "Kwa unyenyekevu wa moyo na kumcha Bwana, ndipo utajiri na heshima na uzima hupatikana." Anza leo kumwamini Mungu na kumcha utaona baraka tele katika maisha yako.
 
Sawà mkuu tena nyie wakristo mada kama hizi mnakuwa vilaza mno sjui kwa nini
Hahaahh mbona mimi sio mkristo?, sio muislam wala siko dini yeyote, ninaenenda kwa hoja zangu nazo kaa na kuzichambua, atleast wa kristo wana make sense tu
Lakini hata wale kule weupe wanasali ndiko zilizoanziaa hahaa.
 
Mkuu Setfree
Kitabu chako chenye hizi chapter 10 za kibabe sana kinatoka lini?

Mchanyato huu wa systematic theology, core science, technology, archeology na mengineyo bila kuuweka kwenye kitabu itakuwa umetunyima maarifa nyeti.

super stuff!
Asante kwa kuona points hizo ni super stuff. Ubarikiwe sana
 
Elon musk kuabudu Mungu yupo, Sio uthibitisho wa uwepo wa Mungu.

Hiyo ni imani na mtazamo wake Elon musk tu.

Hakuna Mungu.
Sometimes ni kuwa ignore tu

Kuna wengine wamejiunga juzi hawajui hata jinsi ya kufanya mdahalo na Atheists.

So utakuwa na kazi mbili ya kuwafundisha namna ya kuhoji logically wakati huohuo unategemea kupata majawabu ya hoja zako kitu ambacho si rahisi kuwezekana.
 
Hahaahh mbona mimi sio mkristo?, sio muislam wala siko dini yeyote, ninaenenda kwa hoja zangu nazo kaa na kuzichambua, atleast wa kristo wana make sense tu
Lakini hata wale kule weupe wanasali ndiko zilizoanziaa hahaa.
Sawa
 
Hata huyo Yahweh ni mshenzi vilevile.

How can you pray to an illusion?
Mungu ni mvumilivu, kwa sasa utafikiri haoni au hasikii matusi anayotukanwa. Siku yaja, tena yaja upesi ghadhabu yake itawaka juu ya watendao dhambi na wasiomuamini. Wataomba milima iwaangukie wajifiche nyuso zao lakini haitasaidia. Soma Ufunuo wa Yohana, kitabu hiki kinaelezea mambo yatakayoupata ulimwengu, soon.
 
Kwanza mtoa mada huelewi Mungu ni nini? Wengi hawaelewi Mungu ni cheo na sio jina linalomilikiwa na kiumbe au nguvu yoyote , ni kama unavosema rais, hujui rais wa nini , au wa kitu Gani. Mungu yupi huyo mkuuu, mana wapo 300k+
Hao 300k+ ni miungu(gods)
"Kwetu sisi yuko Mungu(GOD) mmoja, aliye Baba, ambaye vitu vyote vyatoka kwake na kwa ajili yake sisi twaishi; na kuna Bwana mmoja tu, Yesu Kristo, ambaye kwa yeye vitu vyote vimekuwepo na kwa yeye tunaishi." 1 Wakorintho 8:6 (NEN)
 
Back
Top Bottom