Mkuu, calling these 'laws of nature' raises a fundamental question: where did these laws originate? Laws imply a lawgiver, and the intricate order and precision we observe in nature point to an intelligent source. Instead of dismissing evidence outright, let's consider the possibility that the existence of these laws themselves is evidence of a higher power orchestrating the universe.All this is rubbish on the concrete evidence of the existence of God! Labda kama unataka kusema science ndiye Mungu. All these are laws of nature
Huoni Mungu ni mjinga/Muovu kwa mantiki hii kwa Nini akuumbe akupe Uhuru wa kuamua unachotaka Lakini akuchome moto kwa kufanya unachotaka?He gave freedom so that you can choose either the wrong way or good way ... he can't force anyone into His family...the decision is in your hand
Iman bila matendo imekufa kama tunavyofundshwa anha kumbe basi Mungu anatambua kitu physically kina umuhimuHayo ni maneno ya kiimani tu yani ni moto wa imani ,wala siwezi kupinga mtu kuamini tena nataka mzidi kuishi kwa imani tu , ila unapokuja kutaka mimi niamini unachokiamini nahitaji uthibitisho ili nisibaki kwenye imani kama wewe , nijue kabisa.
Wapi Tena nimeandika Mungu muweza wa yote mkuu? Au Tena ndokusema wakati mwingine kusoma Sana Ni kuongeza ujinga. Sorry kwa matamshi makali hahah!Usifiriki kuwa hayo maneno ya kiimani siyajui mkuu , Umekuja na madai ya uwepo wa Mungu muweza wa yote , halafu unashindwa kuthibitisha uwepo wake , unabaki kulalama na mahubiri ya kiimani tu yasiyo na uthibitisho wowote.
Sawà mkuu tena nyie wakristo mada kama hizi mnakuwa vilaza mno sjui kwa niniIman bila matendo imekufa kama tunavyofundshwa anha kumbe basi Mungu anatambua kitu physically kina umuhimu
Ok njoo kwa procedure tulizokupa , physically utashuhudia
Anha hahahaha okay, unataka umbo
Em nijibu hapa huwa unahisi unapulizwa na upepo, sasa naomba unioneshe UMBO LA UPEPO.
Wapi nimesema umeandika wewe?Wapi Tena nimeandika Mungu muweza wa yote mkuu? Au Tena ndokusema wakati mwingine kusoma Sana Ni kuongeza ujinga. Sorry kwa matamshi makali hahah!
Kuna hatari ya atheists kuwa mnajibu maswali kwa mazoea bila tafakari itatusikitisha Sana.
Min me katoka wapi?Chanzo cha kitu gani?
mimi binafsi concept ya free will, siielewi mkuu. tuchukulie mfano pale middle east serikali ya netanyahu inashusha kombola mpaka hospitali na kuua watoto walio icu, hapa free ipo kwa netanyahu peke yake au hadi hawa watoto?He gave freedom so that you can choose either the wrong way or good way ... he can't force anyone into His family...the decision is in your hand
KazaliwaMin me katoka wapi?
Exactly 💯Haka hakajui hata anachokisema yeye mwenyewe, kusumbuka kumweleza mtu wa hivi ni kupoteza mda tu.
Biblia inasema Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa. Huoni maarifa makubwa aliyo nayo Musk? Tena Mithali 22:4. inasema: "Kwa unyenyekevu wa moyo na kumcha Bwana, ndipo utajiri na heshima na uzima hupatikana." Anza leo kumwamini Mungu na kumcha utaona baraka tele katika maisha yako.Elon musk kuabudu Mungu yupo, Sio uthibitisho wa uwepo wa Mungu.
Hiyo ni imani na mtazamo wake Elon musk tu.
Hakuna Mungu.
Hahaahh mbona mimi sio mkristo?, sio muislam wala siko dini yeyote, ninaenenda kwa hoja zangu nazo kaa na kuzichambua, atleast wa kristo wana make sense tuSawà mkuu tena nyie wakristo mada kama hizi mnakuwa vilaza mno sjui kwa nini
Asante kwa kuona points hizo ni super stuff. Ubarikiwe sanaMkuu Setfree
Kitabu chako chenye hizi chapter 10 za kibabe sana kinatoka lini?
Mchanyato huu wa systematic theology, core science, technology, archeology na mengineyo bila kuuweka kwenye kitabu itakuwa umetunyima maarifa nyeti.
super stuff!
Sometimes ni kuwa ignore tuElon musk kuabudu Mungu yupo, Sio uthibitisho wa uwepo wa Mungu.
Hiyo ni imani na mtazamo wake Elon musk tu.
Hakuna Mungu.
SawaHahaahh mbona mimi sio mkristo?, sio muislam wala siko dini yeyote, ninaenenda kwa hoja zangu nazo kaa na kuzichambua, atleast wa kristo wana make sense tu
Lakini hata wale kule weupe wanasali ndiko zilizoanziaa hahaa.
Mungu ni mvumilivu, kwa sasa utafikiri haoni au hasikii matusi anayotukanwa. Siku yaja, tena yaja upesi ghadhabu yake itawaka juu ya watendao dhambi na wasiomuamini. Wataomba milima iwaangukie wajifiche nyuso zao lakini haitasaidia. Soma Ufunuo wa Yohana, kitabu hiki kinaelezea mambo yatakayoupata ulimwengu, soon.Hata huyo Yahweh ni mshenzi vilevile.
How can you pray to an illusion?
Hao waliokuzaa wametoka wapi?Kazaliwa
Hao 300k+ ni miungu(gods)Kwanza mtoa mada huelewi Mungu ni nini? Wengi hawaelewi Mungu ni cheo na sio jina linalomilikiwa na kiumbe au nguvu yoyote , ni kama unavosema rais, hujui rais wa nini , au wa kitu Gani. Mungu yupi huyo mkuuu, mana wapo 300k+
Anayejua ni kwanini kataka iwe hivyoHuoni Mungu ni mjinga/Muovu kwa mantiki hii kwa Nini akuumbe akupe Uhuru wa kuamua unachotaka Lakini akuchome moto kwa kufanya unachotaka?