Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Anyway, mijadala ya namna hii huwa haifikiagi muafaka kwa maana imani ni mambo ya rohoni na kutokuamini ni mambo ya kimwili, tunaoamini tuendelee kuamini na tusio amini tuendelee kutokuamini... Siku itabidi mnipe mdahalo na hawa jamaa min -me Kiranga na wengineo wenye misimamo hasi kuhusu uwepo wa Mungu ili niwasilimishe au niwasalishe Sala ya toba baada ya mdahalo kumalizika.
 
Biblia inaeleza mambo mengi kuhusu Mungu. Na Biblia imeandikwa na wanadamu wakiongozwa na Roho Mtakatifu. Kwa maneno mengine, ukisoma Biblia utajua habari za Mungu na unaweza kuwaelezea wengine wasiomjua Mungu.
Hao wamejaribu tu kumuelezea ila kuna mengi sana tusiyoyajua kuhusu Mungu.
 
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu?
Sijui kwa nini mnataka kuthibitishiwa Mungu? Anayeamini aamini na anayechagua kutokuamini asiamini, wote tumezaliwa tumekuta hii misimamo wenye kuamini na wasioamini toka enzi wala tusidhani sayansi au teknolojia ndio imekuja kupinga uwepo wa Mungu.

Mimi huwa nasema hakuna uthibitisho wala hilo halinisumbui kabisa kusema, maana najua Mungu katutaka tuamini uwepo wake hivyo kuwepo wasioamini ni jambo la kawaida kuwepo. Kama Mungu angetaka vinginevyo angejidhihirisha wazi.
 
hivi kweli ungekuwa wewe ndo MUNGU, ungemuumba kiumbe anayeJAMBA ,. kweli?🤔🤔🤔

kwamba kulikuwa hamna namna nyingine kabisaaaa?🤧🤧🤔
Kujamba linaonekana jambo baya kwa sababu ya dhambi zetu wenyewe. Biblia inasema Mungu alipomaliza kuumba, kila alichokiumba kilikuwa chema. Hakukuwa na harufu mbaya. Dhambi ilipoingia ndio imeleta uharibifu: magonjwa, harufu mbaya nk nk
 
Anyway, mijadala ya namna hii huwa haifikiagi muafaka kwa maana imani ni mambo ya rohoni na kutokuamini ni mambo ya kimwili, tunaoamini tuendelee kuamini na tusio amini tuendelee kutokuamini... Siku itabidi mnipe mdahalo na hawa jamaa min -me Kiranga na wengineo wenye misimamo hasi kuhusu uwepo wa Mungu ili niwasilimishe au niwasalishe Sala ya toba baada ya mdahalo kumalizika.
Kama Mungu yupo unataka mjadala na mimi wa nini?

Omba kwa mungu wako tu atubadilishe.
 
Kujamba linaonekana jambo baya kwa sababu ya dhambi zetu wenyewe. Biblia inasema Mungu alipomaliza kuumba, kila alichokiumba kilikuwa chema. Hakukuwa na harufu mbaya. Dhambi ilipoingia ndio imeleta uharibifu: magonjwa, harufu mbaya nk nk
tungeonewa huruma juu ya hili 🤧🙌🙌
 
Umeandika mambo ya wazungu ambayo mengi yapo kwenye vitabu. Gravity mfano yaani wamesema wao kwa namna zao. Mungu yupo ila sio kwa namna ambazo zinathibifishwa na watu wa upande flan tu. Ndio kusema sisi Waafrika hakuna letu hata moja linalothibitisha uwepo wa Mungu?
Waafrika tunatoa mapepo kwa Jina la Yesu, yanakimbia mbio! Waafrika tunaomba Mungu anatupa mahitaji yetu. Mimi nimepona magonjwa mengi sana kwa kumuomba Mungu. Mbuga za wanyama Afrika ni uthibitisho mkubwa wa uwepo wa Mungu.
 
Hayo ni maneno ya kiimani tu na hukupaswa kusema kila kitu lazima kiwe na chanzo sijui kama unanielewa lakini?
Kusema kila kitu kuwa na chanzo nadhani ni akili ya binaadamu ndio inakubali hivyo.
 
Back
Top Bottom