Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

If God’s nature is beyond human understanding, how can we claim to understand that He is eternal, uncreated, or beyond time?

Aren’t those claims themselves based on some level of human comprehension?
We claim he is uncreated ..eternal ...beyond time because he has no begging or ending
 
Mtu anieleweshe ni kwanini Mungu aruhusu mapadri wanywe pombe lakini wasioe..halafu Mungu huyohuyo aruhusu mashehe waoe wake mpaka wanne ila wasinywe pombe?
MKuu nikuulize swali kwanini umechagua padre na si wachungaji kwasababu wao huoa.
 
Lengo la uzi huu sio kueleza Mungu ni nani. Mtu anayesema "hakuna Mungu" hana haja hata ya kujua Mungu ni nani.
Hakuna sehemu nimesema hakuna Mungu, Mimi sio Atheist.

Mimi sijui kama Mungu yupo au Hayupo hivyo nataka kujuzwa yeye ni nani ili nijifunze.

Hata hao wanaosema hayupo wanatakiwa waeleze Mungu ni nani kabla hawajaanza kuthibitisha kwamba hayupo.

Utajuaje kwamba kitu fulani kipo au hakipo bila kujua maana ya hicho kitu wala kujua kipo vipi?

Sitaki blah! blah!, Nataka kujifunza.

Je, Mungu ni nani? Ni nini?
 
If God is outside time and doesn’t have a beginning, how can He act in our world, which is inside time?

For example, how does a timeless God make decisions, like creating the universe or answering prayers, if making decisions seems to involve time? Isn’t that a bit contradictory?
Not contradictory. God's timelessness does not mean He is passive or disconnected from the world; rather, He exists beyond time but is fully engaged in it. While we experience time and decisions within it, God's nature allows Him to act in time without being limited by it. His decisions, like answering prayers, are not bound by our perception of time; He can intervene in history in a way that aligns with His eternal will while still being actively involved in our temporal experience.
 
We claim he is uncreated ..eternal ...beyond time because he has no begging or ending
How do we know this for sure?

If God is beyond human understanding, as you said, how can we make definite claims about His nature, like being eternal or uncreated?

Aren't those ideas still based on our limited perspective?
 
Hahah! Walikuja na mada za anunaki sijui zilipotelea wapi? Alafu kuja kugundua kumbe ndo walewale wa evolution na ndo haohao wa bigbang na Ni atheists pia.
 
Not contradictory. God's timelessness does not mean He is passive or disconnected from the world; rather, He exists beyond time but is fully engaged in it. While we experience time and decisions within it, God's nature allows Him to act in time without being limited by it. His decisions, like answering prayers, are not bound by our perception of time; He can intervene in history in a way that aligns with His eternal will while still being actively involved in our temporal experience.
How can you be sure that our ideas of qualities like love and justice truly reflect His nature, and aren't just projections of our own experiences?
 
Hiyo sasa tufanye iwe mada/uzi mpya, au siyo?
Naonekana kama ninatania ninachokizungumza?

Sipo hapa kutania, Nahitaji kujua.

Sihitaji uzi mpya, wala majibu ya maswali yangu hayahitaji uzi mpya, Nahitaji majibu sasahivi.

Mungu ni nani? Ni nini?
 
You need to restore your brain to factory settings
Ha haa! Thanks for the suggestion! I'm constantly running updates and optimizations, but I believe my system is already operating with the latest version of wisdom and experience.
 
How do we know this for sure?

If God is beyond human understanding, as you said, how can we make definite claims about His nature, like being eternal or uncreated?

Aren't those ideas still based on our limited perspective?
Akili sasa imefika beyond limit
I'm sorry I can't think anymore
 
Hata waisrael wenyewe hawatambui uwepo wa huyo yesu.
Hiyo iko wazi, Maandiko yanasema: Alikuja kwa walio wake wakamkataa. Lakini wote waliompokea walifanyika kuwa watoto wa Mungu. Israeli kuna Wakristo. Hata hivyo bado huruma za Mungu ziko juu ya Taifa la Israeli.
 
Back
Top Bottom