Mambo 11 niliyoyaona Simba vs Gwanengy Galaxy leo

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
1. Simba haijawahi kucheza mchezo wowote wa kimataifa msimu huu na kushinda, kumbuka hata kufuzu walifuzu kwa goli la ugenii.

2. Sio jambo la kawaida kwa timu kama Simba kucheza mechi za kimataifa na kuishia sare.

3.Sikubaliani na hoja kuwa wachezaji wa Simba ni wazee ila nakubaliana na hoja kuwa hawa wachezaji kuna kitu kimefanyika kwa wachezaji ili timu isipate ushindi.

4.Kwa yanayoendelea katika timu hii Benchika amekuja kujidhalilisha na muda sio mrefu yatamkuta kama.Robertinho.

5.Ushindi wa Simba utaendelea kuwa sare hadi mambo yatakapokaa sawa.

6.Viongozi wakubali kuwajibika ili wenye uwezo waongoze timu, kuendelea kung'ang'ania uongozi wakati matokeo sio mazuri sio sawa kabisa.

7.Brand ya timu imekufa kabisa kwa sababu sidhani kama mashabiki watakuwa na morali tena na hii timu.

8.Mnaweza kuwalaumu wachezaji lakn hata wajitume namna gani ngoma haiwezi kusimama tena kwa sababu wachezaji wameshafungwa miguu hao.

9.Wazee wa Simba wakiendelea kukaa kimya jahazi linakwenda mrama, muda bado upo.

10. Kama tumeshindwa kuwafunga Gwanengy leo basi msimu huu ni msimu wa ngedere.

11.Yanga leo atashinda dhidi ya Al Ahly na hali hiyo itazidi kuchochea mgogoro pale unyamani.
 
Ila Simba ina mashabiki Mbumbumbu, yan game ya kwanza tu mshaanza kusema Benchika atoke 😂😂😂😂😂 heb mpeni muda bas
 
Hakuna uchawi hapo, wachezaji mliosajili uwezo mdogo na wazoefu wamechoka. Kocha apewe muda asajili wachezaji anaowataka. Uzuri ni kwamba kocha ni mzoefu wa soka la Africa.
 
1. Simba haijawahi kucheza mchezo wowote wa kimataifa msimu huu na kushinda, kumbuka hata kufuzu walifuzu kwa goli la ugenii...
Kwenye mpira kinachoamua mshindi ni speed na space vitu ambavyo simba alivikosa siku ya leo
 
Mechi ya leo ni copy and paste ya mechi dhidi ya ASEC. Katika mechi zote mbili, kipindi cha kwanza timu inapambana ila kipindi cha pili timu inapoaaa. Ukiacha utimamu wa kimwili ambao tumeona benchi jipya la ufindi wameanza kulifanyia kazi siku mbili zilizopita, wachezaji wana msongo mkubwa wa mawazo.

Aliyewafunga wachezaji wa Simba anaipenda Simba ila hataki ishinde wala ifungwe. Kuna msimu fulani hapo nyuma Simba ilifululiza sare kama hizi katika ligi ya ndani, embu turudi tuangalie ilikuwaje na nini kilifanyika.
 
Umenena
 
1. Simba haijawahi kucheza mchezo wowote wa kimataifa msimu huu na kushinda, kumbuka hata kufuzu walifuzu kwa goli la ugenii.

2. Sio jambo la kawaida kwa timu kama Simba kucheza mechi za kimataifa na kuishia sare.

3.Sikubaliani na hoja kuwa wachezaji wa Simba ni wazee ila nakubaliana na hoja kuwa hawa wachezaji kuna kitu kimefanyika kwa wachezaji ili timu isipate ushindi.

4.Kwa yanayoendelea katika timu hii Benchika amekuja kujidhalilisha na muda sio mrefu yatamkuta kama.Robertinho.

5.Ushindi wa Simba utaendelea kuwa sare hadi mambo yatakapokaa sawa.

6.Viongozi wakubali kuwajibika ili wenye uwezo waongoze timu, kuendelea kung'ang'ania uongozi wakati matokeo sio mazuri sio sawa kabisa.

7.Brand ya timu imekufa kabisa kwa sababu sidhani kama mashabiki watakuwa na morali tena na hii timu.

8.Mnaweza kuwalaumu wachezaji lakn hata wajitume namna gani ngoma haiwezi kusimama tena kwa sababu wachezaji wameshafungwa miguu hao.

9.Wazee wa Simba wakiendelea kukaa kimya jahazi linakwenda mrama, muda bado upo.

10. Kama tumeshindwa kuwafunga Gwanengy leo basi msimu huu ni msimu wa ngedere.

11.Yanga leo atashinda dhidi ya Al Ahly na hali hiyo itazidi kuchochea mgogoro pale unyamani.

Yanga atanyukwa bila ubishi!
 
Yote sawa, ila hapo 11, umechemsha. Weka hoja nyingine

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom